Recent content by expesho

  1. expesho

    JamiiForums Waziri Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wamewafukuza kazi waajiriwa wapya 3000 walioajiriwa Juni 2016

    Mbona habari yenyewe haina mpangilio wa ki mantiki, huyu mtoa habari inaonekana wazi kuwa ni mbabaishaji.
  2. expesho

    JamiiForums Vijana wa Dar na ajira mpya ya kubet

    Na ikiwezekana, Na mkepia ikiwezekana, ili familia iwe na mtaj, wanasema kizuri ule na uwapendao.[emoji12] [emoji12]
  3. expesho

    JamiiForums Vijana wa Dar na ajira mpya ya kubet

    Maana ya kamari ni kwamba wengi wakose mmoja anufaike, sasa ww utasemaje kuwa huo ni mtaji? Huoni unajijengea mazingira ya kuishi maisha ya kubahatisha, mwisho wa siku unalemaa .
  4. expesho

    JamiiForums Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Kulala nikupitiwa tuuu, pia ujue yakuwa huwezi kumlazimisha mu hadzabe aende shule kwa kutumia fimbo, ila kwa kumuelewesha kwa lugha rahisi, sasa kama hao mlio kuwa mnawaita wachangamfu wameshindwa kutufukisha, basi sisi tumeamua kuchukua uamuzi wakuweka mtutulie na tumaini nae, hapa huna namna...
  5. expesho

    JamiiForums why loans board(HESLB)

    I am EXPERY PETER SHIO, student at ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA. REG NO:097104042 /BE (ECE). fourth year 2012/2013. form four index no: 0042/0480/2006. i am a fourth year( seventh semester) at the mention college, i am the loans board beneficiary., i have being given ( meals and...
Back
Top Bottom