Recent content by Exorcist

  1. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

    Umesoma nilichoandika?
  2. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

    Mimi ninavyojua kuokoka sio kuacha dhambi, bali ni kuzaliwa upya, unaweza kuwa mtu mwema na ukazaliwa upya kuwa mtu katili, yote ni kuokoka, maana umetoka kwenye hali ya zamani usiyoitaka (ya wema), na umezalliwa upya kwenda kwenye hali mpya unayoitaka na kuipenda (kuwa katili). Na kuokoka ni...
  3. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

    https://www.instagram.com/p/DG2uz1cqsRM/?igsh=MWRxcjVqYjUxYTBndg==
  4. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Hata mimi sijawahi kuona awamu ambayo mikataba yake inagawa bure rasilimali zote za nchi kwa mikataba zaidi ya 30
  5. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Watu wanajiuliza sababu ya kufichwa ni zipi
  6. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

    Pesa zinaingia mfukoni mwa mtu..., na hatutaona hiyo mifumo ya umwagiliaji
  7. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Y ale maneno ya ‘Mtanikumbuka...’ yanaumiza sana, unaweza ukalia yani 😭😭😭😭
  8. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Nchi imeuzwa, sio swala la ukanda
  9. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Isije ikawa mmepiga bomu tu
  10. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa hiki chombo anisaidie

    Kinachofanya hii iwe pikpiki ni nini?
  11. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Tuseme tunasafiri barabara yenye urefu wa 120km, na kila mtu akatumia lisaa limoja kusafiri huo umbali (120km per every hour (120km/hr)). Tukianza safari saa mbili asubuhi, watafika saa ngapi?
  12. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitoboa dunia katikati, upande mmoja hadi mwingine, ukidondoka unaishia wapi?

    Hakuna juu wala chini, juu kwako ndio chini ya mtu alieupande mwingine
  13. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Sasa hiyo drag force si imeshasababisha engine kukanyaga mafuta zaidi na kumaintain speed, au?
  14. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Yaani unasema tunatembea umbali ule ule kwa muda ule ule halafu uniulize nana anawahi? Umechanganyikiwa?
Back
Top Bottom