Recent content by Exile

  1. Exile

    JamiiForums Tanzania zipi changamoto za BMW X6M50d

    Hazina maelezo mengi kwa mafundi wa mikoani? au zinaendana mifumo mingi na hizi M isije ikawa fundi anatoka dar ( naona ni gari la michezo)
  2. Exile

    JamiiForums Tanzania zipi changamoto za BMW X6M50d

    Injini: 3.0L, silinda 6, diesel Nguvu: takribani 400 hp Torque: karibu 760 Nm Gearbox: Automatic ya speed 8 Mfumo wa kuvuta: xDrive (4WD/AWD) — nguvu huenda kwenye magurudumu yote 0–100 km/h: karibu 5.2 sekunde Mwendo wa mwisho: karibu 250 km/h Matumizi ya mafuta: kwa kawaida takribani 8–11 km/L
  3. Exile

    JamiiForums Tanzania zipi changamoto za BMW X6M50d

    Isanga family
  4. Exile

    JamiiForums Tanzania zipi changamoto za BMW X6M50d

    RRONDO
  5. Exile

    JamiiForums Tanzania zipi changamoto za BMW X6M50d

    Naona kwa mjibu wa mtandaoni ilianza kutengenezwa 2012
  6. Exile

    JamiiForums Tanzania zipi changamoto za BMW X6M50d

    Wadau hiyo gari Bmw x6m50d ni gari ambayo naipenda sana je inachangamoto nyingi sana? Kama kuna ushauri nazingatia
  7. Exile

    JamiiForums Tanzania Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

    Hao baadhi ya viongozi walio simamishwa ni akina nani? Mi najua wote wanao sema ujinga sio viongozi na timu machame
  8. Exile

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu ajiuzulu kwa muda CHAUMMA kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

    Hili swala nililiona, sasa zimeanza chokochoka za akina yericko na akina mchome
  9. Exile

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Wasioitakia mema nchi yetu wanahamasisha kufanya vurugu, hatutasita kuchukua hatua

    Duuh kazi na utu? Sikujua hizi habari zinakuwa na hamasa hivi hadi jeshi litoke kutoa maelezo
  10. Exile

    JamiiForums Tanzania Tulipofikia Tanzania, inabidi tufanyaje?

    Wakuyageuza ni wananchi wenyewe ila viongozi hapana
  11. Exile

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Sina heshima na wanaharakati hata kidogo na sijali, ni wahalifu wa nchi hii

    Waziri mkuu.. tumepatikana aisee
  12. Exile

    JamiiForums Tanzania Tulipofikia Tanzania, inabidi tufanyaje?

    Kwa yaliyo tokea hakibadiliki chochote
  13. Exile

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumemkamata Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Geita Neema Chozaire kwa tuhuma mbalimbali za kijinai

    Ipo siku hayo yote yatapatiwa majibu huku mkijibu kwa majuto na kutia huruma mungu naomba uzima
  14. Exile

    JamiiForums Tanzania Tulipofikia Tanzania, inabidi tufanyaje?

    Ccm ilisha kataliwa toka tarehe 29-10
Back
Top Bottom