Recent content by Evodius Rweyemamu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

    Umesema ukweli mtupu..Maana Mie nimejionea hivyo vitu Pale mjini Uvira (mpakani mwa Bujumbura na Congo)..Yaani Ni shida Sana.
  2. E

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Zaidi ya wafanyakazi 1,300 wakosa ajira baada ya mgodi wa Buzwagi kufungwa rasmi

    Labda dhahabu Kwishney hapo Buzwagi..Nashangaa watu poovu kubwa kwelkwel..ndo mashimo yanabaki Sasa ..tulitakiwa kuweka mikataba yenye tija otherwise things will be harder
  3. E

    JamiiForums Tanzania Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Ni mawazo mazuri na yenye lugha staha..Hongera kwa hilo
  4. E

    JamiiForums Tanzania Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Well said..Thanks Ila kuhusu suala la katiba ungetuambia Ni kitu gani kinachoweza badilishwa na katiba mpya..Kuhusu democracy wanaweza kupata suluhisho mezani na siyo maandamano
Back
Top Bottom