Recent content by everythinggoes

  1. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo yako MTANDAONI sasa...

    OUR VISION To be the Centre of Excellence in Quality Education Assessment and Certification. OUR MISSION To Provide Fair, Effecient and Effective Educational Assessment. OUR MOTTO is to serve you better anywhere and everywhere ! Your satisfaction is our pleasure.
  2. E

    JamiiForums Tanzania hodi hodi jamani

    Globu, bila kukazana malengo mtafikia vipi? hakuna mafanikio bila jitihada mkuu, kwa hiyo inabidi wote, wake kwa waume tukazane, kila mmoja kwa nafasi yake ili kujenga nchi yetu. PLAY YOUR PART IT CAN BE DONE.
  3. E

    JamiiForums Tanzania hodi hodi jamani

    Asante Ulimakafu, hiyo kitu siyo ngumu hasa kwa ubeti mmoja kama huo, jaribu hata wewe unaweza ni kiasi cha kucheza na maneno tu hebu try utaniambia.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mtoto kucha tu na izo nyonyo lol!

    Yani kucha za kubandika ndo zimekutia kiwewe!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka nifanye adult circumsicion

    Asante sana kwa muda na ushauri wako Billie, umenipa estimate ya muda itakaonichukua kurudi uwanjani. thanks alot Billie.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hapa HAJA zote ZIMEWATOKA ndani ya gari...

    Watu wamemsahau, he's not in the pictures though.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka nifanye adult circumsicion

    Thanks alot my dear, yani nawapenda sana jf.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka nifanye adult circumsicion

    Asante sana bornagain, I feel so consoled kwa majibu yenu wadau thanks alot, acha ningeingia google nione kama naweza pata contacts zao nianze appointments naona kama july mbali sana mkuu (kusubiri baridi ianze).
  9. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka nifanye adult circumsicion

    Asante kiongozi. sasa huko kwenye kampeni si ndio kabisa tutakuwa kwenye foleni watu wanatuona kabisa waleeeee!!! pia ningependa Dar ili kupunguza gharama
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hapa HAJA zote ZIMEWATOKA ndani ya gari...

    Ubungo, ni kweli huo ndio ukubwa halisi wa tembo?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka nifanye adult circumsicion

    Habari zenu wadau, nina imani mnaendela vizuri na msimu huu wa sikukuu za xmas na mwaka mpya wa 2013. kama kichwa na cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada kwa wenye ujuzi hasa doctors. Pia ningependa tu kusema kuwa issue hii inanihusu mimi binafsi na wala sio jirani rafiki wala ndugu...
  12. E

    JamiiForums Tanzania hodi hodi jamani

    Asante sana Eight Peoooooooooooples.
  13. E

    JamiiForums Tanzania hodi hodi jamani

    hodi humu wajameni, ukumbini naingia kunilaki kazaneni, hoja niweze changia nafasi pia nipeni, maswali kuulizia pengine tena sioni, humu kufananishia. mara baada ya shairi hilo la utambulisho, naomba kuingia ndani. na leo ntaanza na jf dokta nina swali langu lataka ufafanuzi. Asanteni
Back
Top Bottom