Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
UMEONA EEH?! Hapo sasa!!:becky:Imenichekesha sana! Sasa kama walijua wata print na kubandika ubaoni kulikuwa na haja gani kuweka hiyo title?
View attachment 76878
Kwa mtaji huu ELIMU ya digitali bado sana...
Hii unaambiwa ni internet...
Na hao wabongo hapo sijui wanaSURF...
View attachment 76878
Kwa mtaji huu ELIMU ya digitali bado sana...
Hii unaambiwa ni internet...
Na hao wabongo hapo sijui wanaSURF...