Mbona wao waeonesha harusi TBC wakati ni channel ya kitaifa waache na wao c biashara kama biashara zingine. Mtu akikubaliana na bei anapeleka mwanae bana
Hapana jaman c kwamba wanawake hawana huruma maisha ya ndoa ni siri kati ya wanandoa hiwez jua ni nn kinamfanya mwanamke au mwanamme atoke nje ya ndoa. C kwamba wanawake tu ndo wanaongoza kwa kuzaa nje nawanaume wapo tena wengi ti. Sema maadili yetu ya kitanzania ni aibu kwa mwanamke kuzaa nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.