Recent content by EVASAR

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    wewe bora uende salama! huko uendako! kwanza aujasaidia chochote Chadema atutaki miziko pili ufai atakuwa mwana chama wa kawaida cause naona unataka kuleta udini chamani
  2. E

    JamiiForums Tanzania For sua students only

    mbona si hi check ebu nielekeze
  3. E

    JamiiForums Tanzania For sua students only

    poa baba!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Selection zote 1st & 2nd angalia hapa

    Jaribu kua mdadisi basi kwanza usiwe unaropoka sawa
  5. E

    JamiiForums Tanzania Selection zote 1st & 2nd angalia hapa

    acha kutoa matusi toa hoja !
  6. E

    JamiiForums Tanzania Selection zote 1st & 2nd angalia hapa

    HEBU JARIBUNI KU CLICK HI LINK THEN MUONE WENYEWE LABDA INANIZENGUA MWENYEWE ! TCU Website AFTER CLICKING THEN ENDELEA UKIFUATA MAELEKEZO log in 4 uare profile then endelea .................:A S 465:
  7. E

    JamiiForums Tanzania Selection zote 1st & 2nd angalia hapa

    Hebu tuelezane inakuaje? Hapa wana jf
  8. E

    JamiiForums Tanzania Selection zote 1st & 2nd angalia hapa

    HEBU JARIBUNI KU CLICK HI LINK THEN MUONE WENYEWE LABDA INANIZENGUA MWENYEWE ! TCU Website
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tcu kutuma majina ya 1st selection yalio salia vyuoni wiki hii!!

    mwana nashukuru sana kwa info maana roho ilikua juujuu sana mpaka nilitaka kufunga safari mpaka dar toka mwanza break ya kwanza nilikua naanzia tcu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwa mliochaguliwa sua

    Mwana endelea kutupa info[update] kama hizo maana haya mambo sometime haitakiwi uingie kichwakichwa unaweza kula za uso!
  11. E

    JamiiForums Tanzania selected applicants st francis university bofya hapa

    we log in kwenye web yao utapata info zote
  12. E

    JamiiForums Tanzania selected applicants st francis university bofya hapa

    nenda kwenye website ya st Francis kitu kipo live
  13. E

    JamiiForums Tanzania Page ya t.c.u inaandaliwa kwa sasa

    acheni tcu wakomaeeeeeeeeeeee maana wana impove kotokana na mistake la:israel:kini hiyo mistake isiwe kwangu
Back
Top Bottom