Tcu kutuma majina ya 1st selection yalio salia vyuoni wiki hii!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu kutuma majina ya 1st selection yalio salia vyuoni wiki hii!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SANGI B, Sep 5, 2012.

 1. SANGI B

  SANGI B Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tume ya vyuo vikuu Tanzania maarufu TCU,imethibisha kuwepo kwa majina ya 1st selection ambayo hayajafika vyuoni mpaka sasa.
  Kwa wale wenzangu ambao wanatatizo kama hili,tumeambiwa tusubir tusiwe na wasiwasi maana hakuna kilicho haribika,majina yatatumwa vyuoni wiki hii.mm nilikwenda mojakwamoja kwenye ofis zao mikochen jana.:A S 465:
   
 2. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa ndugu, nashukuru kwa taarifa.
   
 3. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks 4 da info brow.
   
 4. E

  EVASAR Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwana nashukuru sana kwa info maana roho ilikua juujuu sana mpaka nilitaka kufunga safari mpaka dar toka mwanza break ya kwanza nilikua naanzia tcu
   
 5. i

  iriko Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  we msolid au? K2 member
   
Loading...