Recent content by evaristar

  1. E

    WALIMU WA HESABU NAOMBENI MSAADA HAPA

    Nitumie ntakusaidia. Usiogope
  2. E

    Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Nimesoma Bwiru boys technical school. Najivunia shule yangu course now am a good engineer
  3. E

    Ajira za walimu 35 elfu ni kwa mwaka wa fedha 2016/17 au 2017/18?

    Namba itasomwa. Matamko wanatoa Sana kwahiyo kujua ka nikwel ni ngumu. But wakat ukifka watatoa. Kwa upande wangu na shauri Watu waangalie upande mwingine hasa UJASILIAMALI (Entrepreneurship? Kwa serikal ya VIWANDA mtasubili sana
  4. E

    Msaada wa kupata chuo cha kusoma bila kupitia NACTE

    Usikate tamaa, tafuta D ya physics then mambo yataenda vizuri.
Back
Top Bottom