Recent content by Evans pilisi

  1. Evans pilisi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi au Upendo? Wataalamu wa lugha msaada

    Sasa mapenzi maana take ni IPI tafadhal?
  2. Evans pilisi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi au Upendo? Wataalamu wa lugha msaada

    Kweli ni jambo LA kushangaza kuwa neno mapenzi ni will katika kiingereza wakati neno upendo ni love.sasa kwa nini watu husema nimefanya mapenzi na yule kaka au yule binti wakati neno hill halimaanishi kungonoana?alafu je neno hili linafaa
  3. Evans pilisi

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

    Nawaulizeni watanzania kweli nchi hii ni ya ccm au ni ya watanzania?.wabunge wa upinzani kufurushwa bungeni kama kwamba wameua ni jambo LA kushangaza sana.je huu ni udikteta au uongozi bora?
Back
Top Bottom