Recent content by evancegodluck

  1. evancegodluck

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu madereva wa UBER juu ya kipato chao

    Hakuna tatizo nataka kupata ufahamu kidogo wa uhalisia wa hiki ninachokisikia
  2. evancegodluck

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu madereva wa UBER juu ya kipato chao

    Asante kiongozi[emoji120]
  3. evancegodluck

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu madereva wa UBER juu ya kipato chao

    Watu wanaongelea hiyo kwamba watu wanao fanya kazi ya kuendesha abiria kwa kutumia mtandao wa uber wanapata fedha nyingi.
  4. evancegodluck

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa picha nzuri weka picha nzuri uipendayo hapa

    [emoji28] [emoji28]
  5. evancegodluck

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu madereva wa UBER juu ya kipato chao

    Sina imani na story zinazoendelea
  6. evancegodluck

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu madereva wa UBER juu ya kipato chao

    Habarini hapa JF, Kuna story nyingi sana zinaendelea juu ya madereva wa UBER, wanasema eti wanavuna hela nyingi sana! Sasa naomb akujuzwa hivi ni kweli madereva wa uber wanavuna mamilioni au ni hadithi tu. Naomba kujuzwa kidogo
Back
Top Bottom