Recent content by euston Milton

  1. euston Milton

    JamiiForums Tanzania Rushwa inavyotawala mamlaka ya bandari Bukoba

    Amani ipo right now
  2. euston Milton

    JamiiForums Tanzania Rushwa inavyotawala mamlaka ya bandari Bukoba

    Zote za MV MWANZO, MV DOUBLE M, MV YOTE SAWA,
  3. euston Milton

    JamiiForums Tanzania Rushwa inavyotawala mamlaka ya bandari Bukoba

    Platform broo its why nikaamua kutumia jamii forum
  4. euston Milton

    JamiiForums Tanzania Rushwa inavyotawala mamlaka ya bandari Bukoba

    Malalamiko juu ya viashiria vya rushwa bandari ya Bukoba kastamu. Usafirishaji wa abiria kutoka Bukoba kwenda kisiwa cha Kerebe kilichopo wilaya ya Muleba kwa kutumia boti inayobeba abilia 50 lakini cha kushangaza wamiliki wa boti wanatumia Rushwa kuwahonga viongozi bandarini ili wazidishe...
  5. euston Milton

    JamiiForums Tanzania Naombeni updates za HESLB Batch 2023/2024

    Huna la kuongea ww acha wenye akili. Waongee
  6. euston Milton

    JamiiForums Tanzania HESLB nihurumieni, kila mwaka mkopo sipewi

    Bado ni yaleyale wait for allocation process
  7. euston Milton

    JamiiForums Tanzania HESLB nihurumieni, kila mwaka mkopo sipewi

    Huyu hapa uncle 0784980676
  8. euston Milton

    JamiiForums Tanzania HESLB nihurumieni, kila mwaka mkopo sipewi

    Kerebe kisiwani nishakuwa mvuvi
  9. euston Milton

    JamiiForums Tanzania HESLB nihurumieni, kila mwaka mkopo sipewi

    Bukoba hapa tena interior kabisa
  10. euston Milton

    JamiiForums Tanzania HESLB nihurumieni, kila mwaka mkopo sipewi

    Nimeomba mara tatu term hii ni ya nne
  11. euston Milton

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaokwenda kuanza masomo University 2023/2024 wakosa kuanza masomo 16/10/2023 (orientation) wakisubiri taarifa za mikopo

    Yaaane tumemaliza advance since 2019 hatujaenda coz mkopo hatupati
  12. euston Milton

    JamiiForums Tanzania HESLB nihurumieni, kila mwaka mkopo sipewi

    Nimemaliza kidato cha sita 2019 na nimefaulu vizur nikiomba vyuo napewa nafasi lakini sijaenda kusoma maana kila mwaka mkopo sipewi msaada jamani
Back
Top Bottom