Recent content by Euna

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Naomba unieleweshe mtaalama jinsi ya kuotesha mbegu ya mstafeli kwani nimepanda na umepita muda sasa sioni hata dalili ya kuchepua na sijajua tatzo nin
  2. E

    JamiiForums Tanzania ILI MBEGU YA MSTAFELI IOTE

    Samahanini wanajf nimepanda mbegu za mstafeli lakini mpaka sasa bado hazioti na hii ni kama wiki ya pili sasa. Sijujua nimekosea wapi naomba kwa anayejua anieleweshe
  3. E

    JamiiForums Tanzania Topics zipi zenye maswali common kwenye physics na bios advance?

    Wapendwa wanajf naomben ushauri wenu ili niwahi kuzijua na kuzicover mapema topics zenye maswali common Kwenye Physics na Bios advance kwan naamin humu wapo watu mbalmbal wanaoweza kunisaidia
Back
Top Bottom