Recent content by Eugene jun ba

  1. E

    ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

    kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
  2. E

    Msaada wa software

    hii hapa https://www.upload.ee/files/17898870/WPS_Office_-_PDF__Word__Sheet__PPT_v18.16.1_build_1529.zip.html
  3. E

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    inahusiana na kitu gani blog yako ?
  4. E

    Kwanini stationeries hawatumii Linux mint au Ubuntu ambazo ni virus free?

    kwa hapa inataji muda kwanza kujifunza huko unakosema kwanini hawatumii ila kwenye baadhi ya tahasisi za kiserikali wanatumia kwa sasa
  5. E

    TORRENT jinsi jinsi inavyofanya kazi

    year ndio ukweli hapa kwa sasa site za kudownload direct ndio zipo update chache sana zipo update kama eztv - tv show todaytvseries6.com - tv show (series) haxnode.net - softwares, app crack
  6. E

    TORRENT jinsi jinsi inavyofanya kazi

    ila kwa sasa izo site ✅ The Pirate Bay ✅ 1337x ✅ LimeTorrents nyingi hazipo update kwenye kudownload hapa, kwa sasa kweenye site zilizo kuwa update kudownload ni zile za direct download
  7. E

    Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    zipo nyingi tu sema tanzania hapa tuna copy and paste kwenye app, kingine wangalia zile zakupiga hela haraka haraka. ukiangalia kwenye jamii kuna vitu vingi hapa vinaitaji app hapa
  8. E

    Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    tatizo huwa hatuambiani ukweli kwenye biashara ukinunua kitu tu unatumia baadaya muda kinanza kusumbua unarudi dukani
  9. E

    Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

    kunawatu wapo hapa ila sema majuku ya kimaisha na familliya hapa zinabana ila zina wezekana kutengeza
  10. E

    Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    huwa utegemeana huku africa bado tuna umimi hapa wao huwa bado wanachuki upinzanii wa biashara
  11. E

    Msaada TV ya LG

    me hiyo tv ninayo hapa sema shida yake inatoa mistali kwenye kioo pembeni nimtumia miaka mwili tu imeanza iyo shida. bali sema ina vitu vingi hata watu wangukani pia walikuwa hajui ivyo vitu
Back
Top Bottom