Recent content by ETT

  1. ETT

    JamiiForums Tanzania Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

    Katika hao wajumbe kuna hata mmoja ambaye ana maambukizi ili kudhibitisha kua UKIMWI si kitu?? kama hakuwepo hata mmoja basi hayo yalikua ni maongezi tuu yakupoteza mda uende, yapuuzwe
  2. ETT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Kuna rafiki angu mmoja alianza hii kazi miezi minne iliyo pita lakini hadi Ana watu wengi sana Mwanzo huwa hivi
  3. ETT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Mwanzo hua hivi... Huo nimetoa mfano wapo wengine hata wa kawaida kabisa Mitandao ya kijamii inaweza kua njia nzuri ya kusambaza video yako na ukapata wadau wa kudumu ..kikubwa utengeneze kitu kinacho eleweka ili usipoteze views wako
  4. ETT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Haha mkuu ndio sikatai lakini ni kusudi langu pia kuwasaidia watu wengine ambao wenda hawafahamu sijataka kuficha like ninacho kifahamu kwani hii ni fulsa kama zingine, sema kwa namna Fulani vitu hivi vinaonekana vigeni huku kwetu lakini ni vitu vya kawaida naamini kwa wale ambao wataamua...
  5. ETT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Kweli "it takes a time" lakini inawezekana ni wewe tu hata ndani ya mda mfupi unaweza anza kulipwa mtu kama masanja akipost video yake ndani ya wiki ni views wengi hata zaidi ya 120k
  6. ETT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Itategemeana so kila wenye account za youtube wanalipwa wengine wanahitaji tu kujitangaza etc na ukitaka ianze kukilipa lazima uiwezeshe kwa kuunganisha na AdSense
  7. ETT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Habari zenu Jf Natumaini wote mu wazima.. Niende moja kwa moja kwenye mada!! Kwanza mniwie radhi kwa kuwa maelezo mengi yatatolewa kwa njia ya video hapa chini hii nikwa sababu ya ugumu wa kulieleza swala hili kwa maandishi tuu!! Maada ni namna ya kutengeneza pesa kupitia mtandao wa...
  8. ETT

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Bawasiri ni moja ya matatizo ambayo wengi wakipata huwa so wepesi kusema na hivyo kuleta matokeo mabaya zaidi hii nikwa sababu tuu ya sehemu nyeti Tatizo lilipo tokea, lakini hill ni tatizo la kawaida kabisa!!!! Mara nyingi Tatizo hili linapokuwa tayari sugu yaani tayari nyama zimekuwa kubwa...
  9. ETT

    JamiiForums Tanzania Dawa za kupunguza unene

    Afanye mazoezi, anywe maji mengi, tumia matunda kama vile matikiti ni dawa nzuri, punguza vyakula vyenye mafuta au wanga kupita kiasi kwani wanga ikizidi bado mwili huibadilisha na kuwa mafuta(fatty acid synthesis)
  10. ETT

    JamiiForums Tanzania Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Kweli baadhi huwasumbua sana wakiwa watoto na baadae wakikua hupotea lenyewe!!
  11. ETT

    JamiiForums Tanzania Chanjo zawadi ya mtoto, haki ya mtoto dhidi ya kuhara !!

    Nawasalimuni wote JFDoctors!!! Somo la 1;Chanjo dhidi ya kuhara!! Utangulizi Chanjo, ni muhimu kwa mtoto kwani huandaa kinga ya mtoto mapema, na hivyo kumuepusha na maradhi ambayo yatamkabili siku za mbeleni ndani ya umri wa miaka 5,Chanjo imepunguza sehemu kubwa ya vifo vya watoto chini ya...
  12. ETT

    JamiiForums Tanzania Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Pua ni miongoni mwa kiungo chenye mishipa mingi na mwembamba ya damu..!!! Zipo sababu nyingi.. > Baadhi ni shinikizo la damu(hypertension), >kukauka kwa kuta ndani ya pua,hii hufanya kuta hizi kupasuka kwa urahisi, hasa utakapo chokonoa hii huweza sababishwa na kukaa kwenye jua mda mrefu...
  13. ETT

    JamiiForums Tanzania Madhara 8 yatakayo haribu ndoa yako kwa kuangalia picha au video za ngono(pornography)

    Useme huo uwongo watu waufahamu
  14. ETT

    JamiiForums Tanzania Madhara 8 yatakayo haribu ndoa yako kwa kuangalia picha au video za ngono(pornography)

    Hapana ukiendekeza inakuadhiri yaani unakuwa addicted na madhra yake ndo hayo utayaona baadae
Back
Top Bottom