Ikiwa Ulishajaribu: Kumwambia, Kumweka karibu na Kumshauri bila kumdhalilisha mbele za watu/ familia yako.
Na bado: ni muongo, mbishi n.k
, basi mtafutie malazi(shelters) yaani sehemu za msaada wa wahamiaji / wanaume wasio na makazi/ nyumba za wazee. Baada ya kumpeleka mpatie kwa kiasi kidogo...
Hakika wale wanao bishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu bila ya uthibitisho wowote uliyo wajia, hawana vifuani mwao ila kutaka kiburi tu, na wala ukubwa wa kiburi hicho hawaufikii. Basi jikinge kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.