Recent content by ET2019

  1. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

    Hatimaye Bank ya Dunia (WB) jana kwenye kikao chake cha wakurugenzi kimepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuhujumu mchakato wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Uzito wa Hoja za Kisiasa za Zitto Kuhusu Makubaliano ya Barrick and Serikali

    Kama ilivyo kawaida wanasiasa ambao wamekuwa mbembele KUPINGA mabadiliko ya sheria ya madini wamekuwa tena vinara wa kueneza upotoshaji wa makubaliano ya awali ya BARICK na Tanzania. Tangia mwanzo ubashiri wao umekuwa kushindwa kwa serekali na kushitakiwa kwenye mahakama za Kimafaifa. Katika...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Back
Top Bottom