Kumekuwa na uwepo wa mabasi yanayotoza nauli za VIP, lakini huduma na hali ya mabasi hayo hazikidhi viwango vinavyostahili.
Tarehe 3 Oktoba, nilisafiri kwa basi la kampuni ya Ally’s kutoka Mwanza kwenda mkoani Rukwa saa 9:00 mchana, ambapo nilitozwa nauli ya VIP ya Sh45,000. Hata hivyo, basi...
Hello Kuna kijana amesoma Diploma in medical laboratory science na ana leseni kutoka bodi ya wataaluma wa maabara ila anataka kwenda kujiendeleza kielimu katika course za
1.Molecural biology and biotechnology (Udsm)
2 Bachelor of biotechnology (must)
Kwa wataalamu na wajuzi wa haya mambo hizi...
Hello naitaji ushauri mlezi wangu kapata changamoto ya afya na akashauliwa astaafu kwa hiari lakni Bado anamkopo benki ya nmb na kumaliza ni mpaka mwaka 2026 je hapo utaratibu Huwa inakuwaje wakufuatwa ili apate stahiki zake na kulipa mkopo uliobaki nafuatilia ushauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.