Recent content by Estar Hamisi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Updates zza gepf ni hizi hapa..... Za leo 16/10/2012

    hongera sana
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hapa hakutatokea chochote in the name of Jesus coz watanzania tuliowengi ambao ni wakristo hatuma muda huwo kama tungekuwa na muda kama walivyo nao wenzetu nadhani jana pasinge kalika lakini dini yetu inatufundisha kusamehe na kusahau, maana mungu wa kweli anajitetea wala hatetewi. Yesu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hapa hakutatokea chochote in the name of jesus coz watanzania tuliowengi ambao ni wakristo hatuma muda huwo kama tungekuwa na muda maka walivyo nao wenzetu nadhani jana pasinge kalika lakini dini yetu inatufundisha kusamehe na kusahau, maana mungu wa kweli anajitetea wala hatetewi. Yesu alibinua...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    kuheshim dini ukiwa na managani, kwani huyo aliye kuwa amekojolea si mtoto, inamaana ni watoto kwa watoto walikuwa wanabishana lakini kwakuwa dini zingine mmeubwa kuwa watu wa mahasira ya ajabu lazima iwe hivyo.
  5. E

    JamiiForums Tanzania KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

    umenifurahisha sana promi demana. yani inachosha tena sana kila siku waislam waislam yani limekuwa tatizo katika nchi hii mbona wa christo tupo na wala hatuna vurugu as nyie na huyo ponda. hebu jalibuni kumuogopa Mungu kwa mnayotenda, kwakweli sijui hata huyo Mungu ni Mungu wa ainagani mnae...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    Asanteni sana wadau wote ambaomme comment kwa mazuri na mabaya pia.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    Asante sana kaka nimesha tuma.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    ok asante kaka
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    ok asante kaka
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    hii PM kirefu chake ni nini naomba kujua tafadhali
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    bado sijapata my brother. hapa sijakuelewa (pm)
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    kazi ya secretary kwasababu ndio ninaujuzi nayo, na hiyo ingine labda nijue nikazigani ndio ninaweza nikaifanya
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    Natafuta kazi, nina elimu ya Diploma ya Secretarial wana jamii wote ninaomba msaada wenu. Asant.
  14. E

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Kwli shukrani ya punda ni mateke. si ushukuru hata umeiona hiyo link? kuweni na shukrani jamani khaaaaaa!!!!!
Back
Top Bottom