Esther_M, angalau wewe umesema cha maana. Ukitegemea serikali watende, tutaendelea hivi hivi miaka nenda rudi. Unaonaje tukiunda vikundi vya kijamii ambavyo tutasimamia na kuwakumbusha hao viongozi. Nimeanza cha kwangu na ninaendelea kukaribisha wakereketwa. Lakini sitaki wasemaji, maneno matupu...