Uchafu Uliokithiri katika miji ya kibongo!

Esta

New Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
4
Points
0

Esta

New Member
Joined Nov 15, 2010
4 0
Habari JF wote!

Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika miji yetu ya kibongo. Katika hili nisingependa mtu alaumu. Kama ni makosa yalifanyika na kila mtu anajua. Ninachotaka hapa ni kitu gani kifanyike kwa sasa. Nataka mikakati ya ufumbuzi ili tusiendelee kuisha kama vile nchi haina watu wanaoelewa.

Natanguliza shukrani zangu kwa mchango wenu.Esta
 

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,295
Points
1,250

Masanilo

Platinum Member
Joined Oct 2, 2007
22,295 1,250
Ilikuwa siku ya valentine mchungaji...life goes on...nadhani kaelement fulani ka wanyama akajatutoka bado


Ana mguu mzuri na umbile kwa ujumla! Anateseka kwa uchafu.....ukiangalia vizuri hayo maji yanaweza kuwa kama kioo mama anashanga kibao na G string nyeupe check kwa chini.
 

Attachments:

shanature

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
745
Points
225

shanature

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
745 225
bonge ya toto ,uchafu kitu gani ,usafi kitu gani,mji si mchafu huyo da:nono:da na uzuri wake ndio mchafu ile mbaya,kama yeye ni mkazi wapo,wananchi ndio wachafu kwa sababu wanachafua,mfano uje chumbani kwangu ukute pachafu,utasema chumba kichafu au mimi mchafu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,?????????????:bowl:
 

Forum statistics

Threads 1,388,891
Members 527,827
Posts 34,013,568
Top