Recent content by Essien jr

  1. E

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    Maendeleo hayapimwi kwa vitu bali watu! Kama watu wanalala njaa, wanakula mlo mmoja kwa siku hizo ndege zinawasaidia nini Watanzania? Kama wanaenda vituo vya afya wanaandikiwa dawa wakanunue, nini direct impact ya hizo ndege kwa mlalahoi wa Chato?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Swali je mh anaumwa au???, lakini simba na yanga huwa haziombeani mema MKUU!!!. Tunaonaga mpaka majeneza uwanjani!!!! Afu hata naibu supika alimzika sijui meenyekiti au nani vile kule mbeya pamoja na bendera ya chedema!!!.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Walioiba kompyuta ofisini kwa DPP ndiyo waliomzushia ugonjwa Rais, ni mtandao umejipanga kupambana na Serikali

    Ningekuwa askari ningeanza na wewe maana unayajua yot,Utasaidia mengi kumbe.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Wewe umejibu kutoka wapi?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Kuna la kujifunza mbona shangwe zilikuwa ni nyingi kuliko majonzi?? Tafakari chukua hatua.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Akili za kijinga kabisa wewe umeajiriwa na serikali??, huli, huna familia??.kwahiyo ni sahihi Nchi kuwa kwenye taharuki kama hii bila kupata ukweli??. Acha kuwa muoga wq maisha, watu wanaishi bila kuajiriwa na wana maisha mazuri.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Mbengu ya ubaguzi ikishaota imeota na imeshamea!!!!, Tuliona TL alivyoshambuliwq na wasiojulikana Watu waliojitoa damu, kumuombea walifukuzwa na kukamatwa na jeshi la polisi linalolipwa PESA za kodi Zao. Tl kapigwa risasi watu walifurahi hadhalani na kukejeli mitamdaoni hatukuona serikal...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Walipotoa vitisho mliwashangilia, mkawasifu, mkawaita vidume Leo wamepatikana mnaleta Lomoni. #Apambane na hali yake
  9. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Karma haiwaachi salama
  10. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Ohhhh mbona kurugenzi ya ikulu haituahabarishi watz
  11. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Amen movie ikiisha kama ilivyo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Imebaki miaka 6 Tanzania kufikia uchumi wa kati. Tuko wapi na tunafikaje kwa haraka zaidi?

    Kati ya watu wa hovyo na wewe umo!!!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe kukata rufaa Mahakama ya Afrika kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi

    Zee zima kama wewe unashindwa kutoa hoja unaleta vihoja. Poyoyo.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Rais kutuita vilaza

    Kilaza ni wewe na propesa magamba
  15. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yakana hukumu ya kuilipa ESCROW dola Mil 185. Dk. Abbasi asema Serikali haidaiwi

    Brother una akili fupi sana!!!, hivi watu waliosaini walisaini kwa niaba ya???. Ni nani kashitakiwa na Nani kaumliwa kulipa??. Akili za kipoyoyo kujimwamba....
Back
Top Bottom