Recent content by essie

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Asante sana mkuu kwa ufafanunuzi,nimekuelewa vyakutosha.nashukuru sana
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Nimevutiwa na hii habari ya miti,nina shamba langu Tanga 20km kutoka mjini njia ya kuelekea Mombasa.naomba kujua ni miti ya aina gani inafaa,na ni miezi gani inafaa kupanda.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kiatu chako chaweza kukuambia umri wako?

    Nimekukubali mkuu.nimepata sawa sawa
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)Hopeless

    Jamani tuwe tunatoa taarifa za kweli,au unaongelea ukumbi upi Bro!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

    Ooh Lord! Mwenyezi mungu awaepushe na balaam
Back
Top Bottom