Recent content by Essence Tz

  1. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

    Hakuna kitu inauma Kama unadanganywa huku unaona live aah😁😃😃😄😂
  2. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Niongee na graduates: Ni biashara bora na rahisi ambayo unaweza ukafanya online 2025

    Safi Ila ungeweka hizo fursa ingependeza zaid
  3. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Unaweza kumpoteza mpenzi wako unayempenda kwa dhati eti kisa tu unashindwa kuomba msamaha. Mi nafikiri ni vema kutafuta amani kuliko kujifanya nunda japo iwe balanced
  4. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    Aaah 😁 ukifikiria ule utamu ampe mwingine ndio unachizika. Bora usiyemjua
  5. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    Mimi Kuna demu wangu tumeachana juzi,. Nilimkuta na mshikaji wangu jioni anamsindikiza dukani sijui Kama alikula Ila nilihakikisha naaribu kote na tumemkosa wote Bora tu
  6. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia fuata mambo yako

    Bora yako kaka Mimi tumezinguana na demu wangu juzi Ila siko vizuri kihisia, japokuwa tulikuwa hatupendani kiivo toka mwanzo. Ila roho inaniuma na hajawai kunichangamkia kivile Yani yupoyupo tu pia anakaushamba flani hivi .
  7. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Dalili nane za kuonyesha unaishi kwenye malango yaliyofungwa (closed gates) katika ulimwengu wa roho

    Tusahidie tunatokaje Sasa au inaisha automatically?
  8. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje mdada anaanzisha mazoea na mtu kisha anayakata ghafla ukianza kumpa attention

    Kakuona huna lolote na ndio maana kakupotezea, huwezi kuwa unakila kitu Cha kumfurahisha akakuacha. That's all!!
  9. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na woga

    Sasa mwanaume unaanzaje kuogopa,
  10. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanifikirisha sana

    Sasa kwani mm nimesema Kuna jibu?
  11. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanifikirisha sana

    Not guaranteed lakini at least kwa watu wenye profession izo,
  12. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanifikirisha sana

    Ilo swali lako hapa huwezi kupata jibu
  13. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wana tabia hii?

    Utamwambia kuwa hutaki mazoea, maana watu hatufanani mwingine mpaka umwambie ukweli, ukikaa kimya ni tatizo lako
  14. Essence Tz

    JamiiForums Tanzania Mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua

    Ni nzuri lakini sio Sheria, unaweza kufanya kwa namna yako
  15. Essence Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wana tabia hii?

    Sasa si unamsahidia pia, maana msaada ni msaada tu.
Back
Top Bottom