Recent content by Essau George

  1. Essau George

    JamiiForums Tanzania Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

    Hii imekaaje, yaani jina lakuitwa kwenye usaili lipo lakini barua yenye namba ya usaili haijatumwa kwenye barua pepe, hapa natatuaje au basi tena 😂😂
  2. Essau George

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

    Kulingana na sh Eria iliyopo nchini na taasisi binafsi nyingi zinazotetea haki za binadamu zinampambania sana mwanamke kuwa awe na haki sawa na mwanaume, Naaminisha hivi 👉Mwanamke anapaswa achangia asilimi sawa ndani ya ndoa kama mwanaume anatoa asilimia 60k ya matumizi mwanamke atoe 50k au...
  3. Essau George

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Shukran sana asee, walipo andika successful updated huku bado ya zaman ipo nkadhan done,,, nimefuta ikawa inarud ya zamani nmefuta na kufuta tena nkaupload tena,,,mwishoe imetokea hii mpya nliyoweka ,,, ila nashukuru sana
  4. Essau George

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Mr sorry nhataji kuuliza kitu ikiwa cover letter uliandika then ukaapply job , later on ukagundua kuwa kwenye anwani ya inakoenda barua umechanganya kipengele cha 1 na cha 2 ikabibid kucorrect na ku updates upya wakaandika successfkl updated but document ikabak ileile ya mwanzo ,je, hizo...
  5. Essau George

    JamiiForums Tanzania Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

    Tamaa mbele mauti nyuma,,,, Wadada wengi wanakuwa na tamaa sana na kutokuridhika na sehemu walipo. Kunawakati siyo lazima kufata sehemu ilipo furaha yako bali uwe sehemu yenye amani tu, akae achanganue upya maamzi atakayochukua juu ya future yake. Mwisho akaombe tu samahani pia kwa watoto...
  6. Essau George

    JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

    Maumivu ambayo nmewah ku experience a, ni MAUMIVU YA KIPANDE USO , MBELE YA PAJA LA USO,. Asee maumivu yake nmakali mno unakuwa unatamani hata kujitoboa damu itoke, ukisogeza hata mkono au kitu chochte karbia na uso panauma, ukiinama panauma, hata ukifanya movement yoyte panauma zaidi, asee...
  7. Essau George

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Pole mr. Nkawaida hyo kama ndo unaanza kwa baadhi, So kinachokuletea shida wewe ni hofu, hofu huua kila kitu Hofu huondoa confidence, na kupelekea dudu kunywea, so jitahidi kupigana nahofu kwa kutengeneza mazoea na mpenz wako akuzoee na pili fanya jogging asubuh kabla ya kukutana nae na unywe...
  8. Essau George

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Asee pole saana binadamu mwenzangu, kwa wewe kama kweli unamiaka 34 na mkeo ana miaka 28, ni range nzuri kabisa ya kukaa mume na mke. Mengine nimeona yamejibiwa lakin kuna kitu kimoja kinaitwa 👉 Physical appearance yako yaan naamanisha muonekano wako, ikiwemo sura na ngozi, binadamu tuko...
  9. Essau George

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa ukiwa maeneo uliyozaliwa ni mtihani

    Kwenda Kuhustle nje ya mkoa wako , hakumaanishi kuwa kwamba ndo utatoboa rahasha!, Wangapi walienda nje ya mikoa yaani mbali kabisa na mahari walipo zaliwa lakini walirudi kapa ndugu wengine hupigiwa simu kuwa wamfate ndugu yao anahali tete kesha kuwa either mlaibu wa madawa, mlevi, mwizi na...
  10. Essau George

    JamiiForums Tanzania Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

    Hapa ndo umenena 100%, u are a critical thinker 🤝🤝🤝
  11. Essau George

    JamiiForums Tanzania Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

    😂😂 sasa wewe, kufa tutakufa lakin unapofanya struggles za maendeleo yako kumbuka unakuw unatmia strategies mbali mbal kufikia malengo , then ukishafkia automatically unajkuta umewekeza ktu kingene sasa unamaendeleo utajizuia kuwekeza e? HIYO NI LAZYNESS na ukiwa na notion kama hizi huwez kupata...
  12. Essau George

    JamiiForums Tanzania Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

    Kisaikolojia a person should be motivated to invest some amount in marketing not in the world investment such as building house, and so far, Unawekeza kias chake ikiwa ni kwenye biashara (business) knaitw risk management kuepuka kucollapse mtaj wote issue ni u have capital kwann usijenge...
  13. Essau George

    JamiiForums Tanzania Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

    Of course n logic ndogo tu kwel kufa tu ta kufa but unazan ukiweka fikira zako kuw mda wowote utakufa utafanya maendeleo nchin especially ur personal development will u archive ur goals if u stick to point 5? Hii inamaanisha lazma utazembea kufany kaz ukiamin mda wowot utatowek fallacy hiz n...
  14. Essau George

    JamiiForums Tanzania Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

    Mwandsh hayupo sahihi 100%, mtu yeyot mweny uwezo wa kureason ktu na kukifanyia judgement hawez kukubaliana nacho coz hyo point 5, n weak point, na kisaikolojia ni mbaya sana hii
Back
Top Bottom