Ni kweli kbs Shonza! Walitaka kuharibu na future ya zitto jamaa mjanja kajinasua!sasa hv tena wanammezea mate! Duuuuuh ni mwanasiasa kichaa pekee ndo anaweza kuwekeza siasa zake CHADEMA.
Mulongo ni mchapakazi, huo mputa mputa wa uzembe wa baadhi ya viongozi kutosimamia ujenzi wa maabara ndo unawaumiza wengi! Mulongo sifa yake kubwa hapendi ubabaishaji na anachukia wizi, HAPO NI KAZI TU MAGESA MULONGO WALA USIRUDI NYUMA! WANA MWANZA TUNAHITAJI MTU MWENYE KUSIMAMIA MAENDELEO.
Kwa hali ilivyo mhe.waziri mkuu na ile nightmare yake ya kuwa rais imekufa kwa sababu ameonyesha udhaifu mkubwa sana katika kuendesha serikali lakini pili ameonekana ndo waziri mkuu kilaza kuliko mawaziri wakuu wote waliyowahi kupita.
Apson, membe, Jack ghotam, lowasa, bashe hawa ni nani kama siyo CCM? chekeni tu kufanyana hv mkidhani ni mnamkomoa mtu mmoja, ngoja mwakani tupoteze nchi ndo mtafunga midomo yenu nyie wote.
Kama mtu aliweza kuibia kanisa tena sadaka za wanafunzi wenzake waliyojinyima pesa za matumizi kutoka kwa wazazi wao wakaamua kumtolea MUNGU leo ashindwe kuiba pesa za wanamwanza, leo ashindwe kukwapua pesa za kampuni, we bwana ngoja tu hapa joto lizidi kupanda watu tunayajua mengi mno mno ya...
Ahsante mkuu kwa kunisaidia kuweka kumbukumbu sawa, mmiliki wa hiyo kampuni ya ushuru wa mabango ni stanislaus mabula lkn bado yupo na jamaa mmoja anaitwa yanga ambaye ni miongoni mwa watu wanaomsaidia hata baadhi ya vifaa vya ujenzi wa nyumba yake baada ya kutimuliwa kule alikokuwa anakaa...
Umejibu vema sana, kama alijua sifa ya kugombea udiwani ni kujua kusoma na kuandika na hiyo ndo taaluma ya mabula 'kusoma na kuandika''iweje afoji cheti na kukitumia kama sehemu ya sifa za ziada za mgombea! ? Alijua kabisa kupewa umeya wa jiji kama mwanza lazima shule iwepo kodogo na ye hakuwa...
Halafu hawa jamaa wanatoka povu kumtetea hawaji na majawabu ya kujibu hoja hizi, wanakuja na malalamiko tu kama waimba taarabu vile, maswali magumu majibu mepesi, akili ndogo inataka kutawala akili kubwa, Mabula kakwapua kitita cha pesa, mabula kadanganya Taifa letu juu ya Elimu yake, Mabula...
Tumeshakupekenyua bwana hadi mzumbe hakuna taarifa zako, siku hzi mtu hadanganyi elimu bwana, wewe ndo unatakiwa utuletee cheti hapa kwamba umemaliza mzumbe, Huna hicho cheti, ushahidi ni kutokuwa na record sehemu yoyote nchi hii kwamba wewe ni mhitimu wa mzumbe?siyo Google wala chuoni mzumbe...
Amedanganye Elimu huyo mtu ni kihiyo! Hajasoma mzumbe jamani!walishirikiana na huyo mwizi mwenzie kuchonga cheti stationary!Hana hata uhalali wa kuwa meya kwa sababu watu walimchagua kwa vigezo ambavyo hakuwa navyo daaah hii nchi jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.