Hapa ndio umejipambanua Nini unamaanisha,awali ulizungumza kwa lugha chafu sana, mimi sio muumini wa waume za watu kaka. Mimi nimesoma SAIKOLOJIA Na akili binafsi haijawahi niruhusu kufanya ulichofanya wewe (cheating) au alichofanya huyo mwanamke.
Mim sipambani ila unatumia lugha ambayo si sahihi,nmekushauri kaa chini zungumza nae kwa hekima atambue wewe ni mume wa mtu aelewe wewe ni mume wa mtu na KAMWE hakuna chochote kinachoweza kuwepo kati yenu...Wewe umeshindwa fikisha ujumbe kwa lugha nzuri
Mimi sio single mother wala sijabahatika mtoto bado ila yafaa ubadili aina ya maneno unayozungumza,ikane nafsi yako mwenyewe na uombe radhi kwa Mungu wako na kwa uliyemzalisha hakika nakuambia aina ya maneno unayozungumza yatakurudia kwenye mifupa yako mwenyewe ,(mifupa katika mifupa yako,damu...
Kwanini uliruhusu aingie kwenye maisha yako? Ujue nae ni mtoto wa mtu yule amezaliwa kama wewe,umeuteka moyo wake sahiv unamuona msumbufu? Mjue nyie watu mnafanya vitu mkifikiri vinapita ni laana hizi haya mambo yanajirudia kama si kwako basi kizazi chako...Hebu kuweni na huruma ni binti za watu...
Na mimi sio mwepesi hivo mpendwa wangu,mimi siharakishi Wala si kuwa sipati watu serious ila dini tofauti,kingine unachotakiwa kuelewa uzazi na udogo,sisi wanawake tuna limit ya umri wa kuzaa tunatofautiana kwenye mitazamo siwezi kataa mtazamo wako,ubarikiwe
Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.