Recent content by Esir

  1. E

    Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

    Msaada kwa mwenye uzoefu wa gari Mazda Premacy DBA-Crew cc1990 size family. Kuhusu ubora spare nk
  2. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    LEGE msaada tafadhari, naomba kufahamu ubora, spea na ulaji wa mafuta wa MAZDA PREMACY MPV 2000CC 7 seats
  3. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    LEGE na wataalamu wengine nisaidieni tafadhari...
  4. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hapo hapo Mshana pia nami naomba kufahamu kuhusu Mazda Premacy MPV 7 seats 2000cc uimala, ubora, upatikanaji wa spare na fuel consumption ajili ya matumizi ya familia
  5. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau naomba kufahamu ubora wa Mazda Premacy MPV 7seat 2000 cc. Ulaji wake wa mafuta na umadhubuti wake kwa ujumla...
  6. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Lege naomba ufafanuzi nataka nunua gari Toyota ISIS cc 1998 D4 Engine, ushauri tafadhari juu ya gari hii. Au Mazda Primacy MPV cc 2000. All this is 7 seat Family size MPV.
  7. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hi, nataka kununua gari toyota ISIS cc 1998 D4 engine. Tafadhari mwenye uzoefu nayo na ushuri pia, nini utafunaji wake wa mafuta nk.
  8. E

    Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    Kweli mwana, tupieni humu....
  9. E

    Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    Tupieni humu hayo majina nasi tuone wadau, mioyo iko juu juu
  10. E

    Zima Moto Updates

    Kazi kwelikweli......
  11. E

    Zima Moto Updates

    Poaa, majanga
  12. E

    Zima Moto Updates

    KISHINDO, hebu nijuze vizuri, hayo majina yaliotoka ni ya level ipi kati ya Mkaguzi msaidizi, Sargent, au Coplo?
  13. E

    Zima Moto Updates

    Nimepigwa chini, hali tete
Back
Top Bottom