Recent content by escada

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba kikubwa self contained morogoro mjini

    Kalakala ingekua safi, bajet ni 80k
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba kikubwa self contained morogoro mjini

    Natafuta chuma moro mjini kikubwa kinachoweza fanyiwa partition ama kama vipo viwili vikubwa pia nisawa.mazingira ya nje yawe ya kuridhisha.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Crane operator anahitajika

    Kama unaujuzi na kuoperate crane kuna kazi zinatolewa.piga namba 0713327000.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Fireman anahitajika

    Jaribuni tena, offici ilikua buzy lately
  5. E

    JamiiForums Tanzania Fireman anahitajika

    Namba mbona yapatikana!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Fireman anahitajika

    Aspam Energy inatafuta mtu wa zima moto mwenye experience. Kama unavigezo wasiliana na namba hi 0713327000.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanatafutwa

    Kuna kampuni inatafuta wafanyakazi wafwatao agently, plant operator,electricians,maintainance, safty officer,fire fighters,crane operatours, weighbridge na instrument technichian. Kama una expirience na position zilizotajwa hapo juu tuma CV kwa sallykajala@gmail.com
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi suti za kukodisha za wadada?

    Rangi ni dark blue suits na nashati ya sky blue, one is small, seven are medium one is large, zahitajika next week, but tunatafuta ili waweze kuja kufanya fiti na tukubaliane bei.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop.

    Weka namba ya simu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda kupendeza!

    Nizawakaka tu?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi suti za kukodisha za wadada?

    Hallow, jamani naombeni msaada kama kunamtu anaweza kunielekeza ni wapi naweza pata suti za wadada kama nane za kukodisha, koz officini wanataka maashers wavae nguo za aina moja.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyabiashara wanaochukua mzigo southafrica.

    Kwa wale wafanyabiashara wa tanzania ambao wanafanya manunuzi ya bidha zao kutoka africa kusini epukeni kupoteza hela wakati unapobadilisha shilingi za kitanzania kwenda dolla alafu dolla kwenda kwenye rands. Offici ya senditdirect ilioko pritoria inaweza kukununulia bidha zako huko kwa rands...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanya biashara wanaonunua mzigo toka afrika kusini

    Kwa wale wafanyabiashara wa tanzania ambao wanafanya manunuzi ya bidha zao kutoka africa kusini epukeni kupoteza hela wakati unapobadilisha shilingi za kitanzania kwenda dolla alafu dolla kwenda kwenye rands. Offici ya senditdirect ilioko pritoria inaweza kukununulia bidha zako huko kwa rands...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanya biashara wanaoingiza mizigo kutoka africa ya kusini.

Back
Top Bottom