Recent content by esc

  1. E

    Wamiliki wa BMW Shikamooni

    Wamiliki na wataalamu wa BMW hii warning light inasababishwa na nini, howbto fix??
  2. E

    Nini maana ya hii taa na inasababishwa na nini? Naomba kujua namna ya kurekebisha

    Nilikuwa naendesha gari yangu ghafla gari ikazima, nilijaribu kuwasha ikagoma ikaleta hii taa kwenye dashboard. Baadae ikawaka lakini hii taa bado ipo. Naombeni kujua nini shida hasa? Nimejaribu kucheki online inaonekana ni transimission, lakn najiuliza tran inawezaje kilusababisha gari izime...
  3. E

    Natafuta chuo cha advanced excel training

    Jaman naomba msaada anaefahamu chuo, taasisi ambayo wanaweza kutoa advanced training course competently ....anijuze Ikave kuanzia functions,macros, Visual basic applications n.k
  4. E

    Msaada kwa wenye uzoefu wa gari Audi A3 Hatchback 2005

    Shukran...spear sio tatz as long as zinapatina.... Vp Comfortability yake ukilinganisha na VW golf gti?
  5. E

    Msaada kwa wenye uzoefu wa gari Audi A3 Hatchback 2005

    Msaada kwa wenye uzoefu na hiyo gar tajwa hapo juu kwenye vigezo vifuatavyo Durability Performance Comfortability Other factors
Back
Top Bottom