Nini maana ya hii taa na inasababishwa na nini? Naomba kujua namna ya kurekebisha

esc

Member
Jul 11, 2015
7
2
Nilikuwa naendesha gari yangu ghafla gari ikazima, nilijaribu kuwasha ikagoma ikaleta hii taa kwenye dashboard. Baadae ikawaka lakini hii taa bado ipo. Naombeni kujua nini shida hasa? Nimejaribu kucheki online inaonekana ni transimission, lakn najiuliza tran inawezaje kilusababisha gari izime ikiwa inatembea?

Gari ni BMW e46

InShot_20200918_160007449.jpg
 

Attachments

  • IMG_20200914_185610.jpg
    IMG_20200914_185610.jpg
    33.7 KB · Views: 2
  • IMG_20200914_185614.jpg
    IMG_20200914_185614.jpg
    31.6 KB · Views: 2
Nilikuwa naendesha gari yangu ghafla gari ikazima, nilijaribu kuwasha ikagoma ikaleta hii taa kwenye dashboard. Baadae ikawaka lakini hii taa bado ipo. Naombeni kujua nini shida hasa?? Nimejaribu kucheki online inaonekana ni transimission, lakn najiuliza tran inawezaje kilusababisha gari izime ikiwa inatembea?
Gari ni BMW e46View attachment 1573463

Hiyo alama inamaanisha kwamba kuna tatizo katika parking mechanism ya gearbox yako.

Kuna uwezekano mkubwa ile pin ya parking iliengage wakati gari yako ipo katika gear na ndio maana gari imezima na inakugomea kuwaka.
 
Back
Top Bottom