Hakika jpm ni tunu toka mbinguni,, wstz tusilpumbazwe na wanasiasa wanaotafuta umaarufu bali tuunge mkono juhudi za Rais, hakika tutafika. Mabepar wana nguvu na ndio wanaocheza na akili zetu sasa kutupotosha ili tumchukie mkombozi huyu wa Afrika, pamoja tutaweza.
Kuongea kingereza Tanzania inafaidika nini? Au tumeishiwa siasa, kikwete alienda sn tukasema anafuata nn Leo siasa za kikulima hizi. Hapo ndipo nazidi tambua shida ya tz ni shule feki. Inafika mahara una discourage nchi yako kwa hoja za kitoto sn. Upinzani utakua lini tz? Km mpaka leo ni zero...
Watz Hakuna ndoto za kujikomoa kiuchumi.. Shida ni tumeamini sn ktk kutawaliwa kiuchumi. Hivyo ndivyo Ilikuwa Hata wakati Nyerere analikomboa taifa hili kutoka kwa wakoloni. Tujflifunze kupambana na mataifa mengine badala ya Mda wote kushindana wenyewe. Kila mtu anataka awe nabii wa failures za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.