Recent content by Ernesto Guevara

  1. Ernesto Guevara

    Tunaposema CCM ina wenyewe muwe mnaelewa. Eliakim Maswi ni mfano kamili

    Sahihi. Na utakuta ni Kijana wa Idara Long time. Na yuko Loyal kwa wakubwa zake. Vijana wa idara huwa wanawekwa pemben kwa mwaka mmoja miwili alafu wanarudishwa. Au wanapewa idara ambayo haina heka heka au haina hela kwa muda kidogo alafu wanampea tena shavu.
  2. Ernesto Guevara

    Tunaposema CCM ina wenyewe muwe mnaelewa. Eliakim Maswi ni mfano kamili

    Kipindi cha tegeta Escrow . Huyu ndiye alikuwa Katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini. Alisimamishwa kupisha uchunguzi. Ila baadae walimrudisha.
  3. Ernesto Guevara

    Pendekeza Mtoa posts bora wakiume 3 na wakike 3 kwa mwaka 2026. Chipukizi itapendeza zaidi sio kila siku mtibeli na wenzake

    Sahihi. Jamaa yuko smart and matured. ERoni apokee maua yake. Hata ww pia Chivundu Huna baya na watu.
  4. Ernesto Guevara

    Pendekeza Mtoa posts bora wakiume 3 na wakike 3 kwa mwaka 2026. Chipukizi itapendeza zaidi sio kila siku mtibeli na wenzake

    Kasema tusimtaje, ofcoz amejitahidi sana 2026. Taja wengine kwa maoni yako
  5. Ernesto Guevara

    Pendekeza Mtoa posts bora wakiume 3 na wakike 3 kwa mwaka 2026. Chipukizi itapendeza zaidi sio kila siku mtibeli na wenzake

    Mwaka mzima wamekuwa karibu na kila member wa JF. Post, comments, likes. Sio kaz ndogo. Maua yao tuwape tu 😂😂😂
  6. Ernesto Guevara

    Pendekeza Mtoa posts bora wakiume 3 na wakike 3 kwa mwaka 2026. Chipukizi itapendeza zaidi sio kila siku mtibeli na wenzake

    Maoni yangu: Chipukizi kwa mwaka 2026. Wanawake - Binti wa zamani (sio chipukizi ila apewe maua yake) 1. ShesRise_1 (Post fikirishi) 2. BICHWA KOMWE - (post na mchangamfu) 3. Seran (interaction na mchangamfu) 4. leo dada (interaction na mchangamfu). Wanaume 2026. (Robert Heriel kasema...
  7. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Mungu alishawah kuongea ana kwa ana na Wafuasi wa Mo?. Mungu mwenyewe aliongea na Mo pale Mo alipoenda kuambiwa mswali mara 50 kwa siku. Pia Jibril amemtokea Mo ana kwa ana mara 3. Na mara zote zilizobaki ilikuwa ni kwa ndoto. Sasa hapa ni Mungu anaongea na nani?. Maana sio Mo. Hapa ni allah...
  8. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Kama haujui haya maneno kasema nani. Usipoteze muda na nguvu zako kunijibu kwa aya. Nani kaongea haya na alikuwa anawaambia wakina nani 👆👆👆
  9. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Quran hata haitishi. Labda kwa mtoto wa miaka 4. Anyway, nani alikuwa anasema Haya maneno?.
  10. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    kuna aya inasema "Hakika allah na malaika wake wanamswalia mtume". Kwahiyo sio sisi tu. Allah mwenyewe anaungana na sisi kumswalia mtume kwa Allah.
  11. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Sasa Jibril kamwambia Mo aandike kwa Quran kuwa Solomon pekee ndio aliruhusiwa kushirikiana na majini na kujenga hilo hekalu. 😎😎😎😎
  12. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Sasa hilo nalo ni la kuhoji?. Alipindisha hapa. Maana angesema hivi. Yeye angekuwa hana La maana tena. Yeye ametumia Biblia na kuaminisha kuwa Yeye ndio wa Mwisho. Kwamba watu wote waamin ya Bible ila kuna vitu biblia haijaandika ukweli. Ila yeye kwa kupitia Wahyi ndio anaandika ukweli 😎😎😎😎...
  13. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Hakunaa. Ushindweee.. Ww ndio wa kusaidiwa. Yote hayo watu walikuwa wanajua hata kabla ya Quran. Na hiki ndio Waislam wengi hamna. Waislam wengu hawana Elimu na ndio maana mnadanganyika kirahisi.
  14. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Kuna ile aya ya kiduanzi kwenye Quran inasema eti Nabii Issa akirudi atavunja msalaba na kuua nguruwe 😂😂😂. Yaaan katika wanyama wote aue nguruwe tu?. Aisee wakitaka watu wawe Waislam..basi ile aya warekebishe. Mnyama mtamu hivi alafu anauliwaje. Si aue hata nyani au ndezi. Hapa lazima tuwe...
  15. Ernesto Guevara

    Quran imeandikwa kutoka maandiko ya Wayahudi na Wakristo wa kale, ni kujidanganya tu kuamini ilishushwa

    Kuna kile Kisa kinataja Marium kukaa na Zakaria na kushushiwa chakula kutoka Mbingun. Biblia haijaandika. Ila kiko kwenye vitabu vya aprokrifa. Ila Quran imeandika vile vile kama hiko kitabu vya aprokrifa. Kuna visa kibao na maarifa yameandikwa kwa quran yametoka kwa aprokrifa.
Back
Top Bottom