Recent content by Ernesto Che Guevara Serna

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

    Kinachotakiwa ni Karibu mpya nzuri. Huyo kiongozi anaweza pia kuwekwa mfukoni. Kwa katiba ya sasa Rais is too powerful to be subjugated to any one person or an institution
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kuuza duka maeneo ya Mwenge, jijini Dar

    JOB VACANCY Sales Person We are looking for sales persons (ladies) to work as sales persons in a Mitumba shop located at Mwenge area. Their specific responsibilities of sales persons will be: Selling (women) clothes to walk-in clients; Selling marketing of clothes through social media e.g...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

    You are a dummy, go back to History. Nelson Mandela alihutubia US Congress 1990. USA bado inainfluence kwenye siasa zetu sana. Mtu naive kama wewe ndio huwezi kujua. Financier na shareholder mkubwa wa World Bank na IMF ni USA. Miradi mingi yetu mingi tunakopeshwa kutoka World Bank. Kwa taarifa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

    CCM wasipotaka kubadilika watabadilishwa. Udikteta hauna nafasi katika karne ya 21. CCM inatawala kwa nguvu kwa kutumia majeshi. Haina tofauti na jitu tajiri linalolazimisha kupendwa kwa kutumia mabavu ya pesa au nguvu. Its just a matter of time. Tundu Lissu waliyetaka kumzika haraka ndio...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Soko la Tangawizi Mbichi

    Wadau, ninauza tangawizi mbichi. Nimelimia Songea. Tafadhali naomba mtu ye yote mwenye taarifa ya soko anitaarifu hapa hapa kwenye forum. Ahsanteni.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ni mtu sahihi, amebobea katika ushauri, majadiliano na utetezi wa rasilimali za Taifa

    nataka nikusahihishe, Bwana Mgaya hajawahi kushindwa kuwa Mhandishi. Aliacha kozi ya Electrical Engineering kwa hiari mwaka 2001 akiwa mwaka wa pili. Mimi alikuwa classmate wangu kwenye BSc Engineering. Na Mwaka wa Kwanza hakuwa na supplimentary na GPA yake ilikuwa 3.4.
Back
Top Bottom