Recent content by Erlang intelligence

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tanzagiza ilipotelea wapi?

    Oooh
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tanzagiza ilipotelea wapi?

    Itakuwa sio ile original, maana nilikuwa nmeilike now hapo for a while now
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tanzagiza ilipotelea wapi?

    Leo nmeamka baada ya kumaliza mjukumu yangu ya siku nikawa nafanya throwback ya headlines mbalimbali na maisha yangu kwa ujumla but kuna kitu kikanijia kichwan "TANZAGIZA" Hivi hii reliable source of information ilipotelea wap? Mwenye idea yoyote kuhusu hii issue atujuze wana jf. Just saying...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Mirerani hii. Bado nipo kwenye chombo ila ila daa kiza kimetawala aisee
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Ningefanya chochote kile ilimradi maisha yasonge apart from living a life of expectations, a suddenly being released out of the army bila kutimiza lengo lililokuingiza kweny chombo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Joining national service after attaining my bachelor degree in a certain Engineering course. Worst decision ever for the moment. Maybe itanilipa ngoja niwe mvumilivu tu kiaina...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    That right. Ukisema ndo uwe mwisho wao wa kusoma kweli huyu form six atabak kutapatapa tu mtaan bcoz hana profession but otherwise wakiendelea kusoma, I expect a lot kutoka kwa best performer wa six kuliko huyu wa first class ya dip. Wakat o level alikuwa na division iliyo sababisha akose sifa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    How wastage of time wakat form six miaka miwiliafu diploma miaka mitatu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Sio kweli mm nmesoma engineering, I know the simplicity kwa mtu aliyepita A level then chuo kuliko dipl then chuo kikuu. By the way form six ukimcompare na diploma holder, form six analag behind kwa sababu hana professional lakin hawa wawilwakienda chuo kikuu tarajia the best performance and...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Thanks mchangia maada. It marks The end of discussion. Tatizo ni mfumo tu, huko ftc na college zingine mfumo wa elimu umerahisishwa sana na kusababisha ukosefu wa intelligent personnel.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Umesoma CEIT yes, kati ya form six na hao diploma, who were the best performers in the class?? Zile MT kuna wanafunz wa diploma wangap ziliwashinda kabisa? Na chukulia mfano wanafunz wa degree wangekua hao from dit and st joseph, Must and whatever hizo dude za Bagile, Mvungi, Mwinyiwiwa etc...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    A level umeaoma nn??
  13. E

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Samahan mtoa maada. Una level gan ya elimu na umesomea nn?? Je A level umesoma na ulisoma combination gan?? Na kama umesoma chuo kikuu, umesoma chuo gan na course gan?? Kama umesoma UDSM Au Telecommunications eng au CEIT nambie hao unaosema wanadiploma za vyuo uchwara wanaishia mwaka wa ngap...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa waliopitia JKT, naombeni mnisaidie kuelewa kuhusu ajira hizi za Serikali

    Wanaajili kijana aliyepo Kweny kambi na wala sio waliomaliza mikataba wakaondoka, Sera ya serikali hiyo, ndo maana wanalimit miaka wakiamn miaka walioitaja ndo operations ambazo bado wapo vikosin. Mkataba wako ukiisha fursa za kuajiriwa kwa kutumia Chet cha jkt unazikosa na ndo moja ya...
Back
Top Bottom