Jamani waacheni fanye mazoezi nyie kinawauma nini mbona kwenye sherehe za uhuru pale uwanja wa taifa huwa zinapita na mnashangilia. Kwakua imetokea bahati mbaya ya mbagala ndio mmeanza kusema hayo waache baaaaaa. Ajali haina kinga!
wewe bado ni mtoto mdogo sana achna na mabo hayo nenda shule kwanza tena unaelekea uliyaanza mapema sana ndio maana uliumizwa kwasababu ulikua ujui unachokifanya, mimi nakushauri achaaaaaa muda wako bado sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.