Recent content by erickyy

  1. E

    Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    Mkuu nimekupa iyo uinyake wapo seriously wadau sema wadau wenye experience ndyo wanapeta kidogo kuanzia laki 7 panda juu ila fresh from college utaambulia kilo4,so pambana hacha ogopa mkuu...jishikishe kwa muda kama umepata chance wakati milango mingine na madirisha ya sehemu nyingine ama mtaji...
  2. E

    Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    VIETEL ni sawa ipo na inaajiri wadau maana head office ipo apo Victoria katika jengo la gepf gorofa ya kwanza,sema kwa sasa watapata mkataba na TTCL na kuwa na partnership, na brandname yao tayari ishakuwa proposal kwa hiyo VIETEL ni kampuni mama na kampuni mtoto ama brandname itakuwa...
  3. E

    Ekari 50 zinauzwa huku kijiji cha Kivinja B, unaingilia jaribu mpakani

    Mkuu elezea poa ni mkoa gani,kata gani ndyo tuanze kukupata na wengine wasiyojua kivinja b
  4. E

    Natafuta kiwanja maeneo ya kivule, Machimbo, Pugu, Kinyerezi ukubwa kati ya 600sqms - 900sqms

    Ni pm ama ntext kwa 0714 141309,ntakupigia. Ahsante.
  5. E

    Nyumba ya kifamilia inauzwa machimbo ya kitunda

    NATAFUTA KIWANJA MAENEO YA KIVULE, MACHIMBO,PUGU ,KINYEREZI UKUBWA KATI YA 600SQMs - 900SQMs ALIYENACHO KWA TAARIFA JIRANI,MALI YAKE NITUPIE PRIVATE MESSAGE OR NITUPIE SMS KWA 0714 14 13 09 THEN NTAKUPIGIA.AHSANTE
  6. E

    Nyumba ya kifamilia inauzwa machimbo ya kitunda

    NATAFUTA KIWANJA MAENEO YA KIVULE, MACHIMBO,PUGU ,KINYEREZI UKUBWA KATI YA 600SQMs - 900SQMs ALIYENACHO KWA TAARIFA JIRANI,MALI YAKE NITUPIE PRIVATE MESSAGE OR NITUPIE SMS KWA 0714 14 13 09 THEN NTAKUPIGIA.
  7. E

    Viwanja vya bei poa katika Wilaya ya Ilala kata ya Chanika kuanzia Shilingi 1, 500.000/=

    ok Master kwa 30m*30m ni sh ngap TSHS? Na 20m*40m ni sh ngap TSHS?
  8. E

    NDC (Kibaha project)

    Bado Ndugu hawajamaliza ita wadau wote kwenye mradi huo..walitegemea mwezi wa kumi wafungue sema kuna obstacles zilitokea na Lami yakuingia plant ilipo ilikuwa haijamalizika kuwekwa lami so kaa mkao kuanzia mwanzoni february- 25 april 2015..kutokana na taarifa za toka kwa wanahabari wao pindi...
  9. E

    Viwanja vinauzwa kibaha bungo.vinafaa kwa makazi na kilimo.

    30m * 40m ni sh ngap Mdau????
  10. E

    Mkataba Wa Ajira (Msaada Kwa Mwenye Ufahamu)

    mkuu hyo ilikuwa fasihi simulizi ya verbal,cha maana ni fasihi andishi,,kwanzan kama ungekuwa umepata wangekupa letter for the offer of employment,then ufanye acceptance then baada ya apo mambo ya consideration/negotiation na legal relations/contract signing..otherwise apo utajiumiza akili fanya...
  11. E

    Natafuta Shamba

    Ukitaka ndani zaidi nenda MIONO, HEKARI MOJA NI LAKI MOJA ADI LAKI NA ISHIRINI,LAKINI KWA KUUZIWA NA SERIKALI YA KIJIJI NI ELFU 1O KWA HEKARI MOJA,THEN UNAFWATA SHERIA ZA KUPIMA MWENYEWE NA KUTAFTA HATI YA ENEO LAKO...KIZURI KULA NA NDUGU ZAKO WATANZANIA.
  12. E

    Usaili TCAA

    Pale attachment mkuu..endelea na mengine.
  13. E

    Bei ya ushuru tra ya ist-2004

    Andaa kama 3,336,184.5 estimated 3,500,000 kumaliza kila kitu
  14. E

    pikipiki mpya

    Kuna boxer ipo sema imetembea miez miwil apo barabarani km 8818, t441 cgc inaitajika 1.7m sema inapungua kwa maelewano, kama upo seriously ni pm fasta.
  15. E

    Ndc wameita katika interview

    Mara nyingi inakuwaga mwez wa kumi na moja tar za mwazoni....maana kiwanda tar 9 mwezi wa 12 ndyo JK ANAKUJA FUNGUA MAANA JUZI NDYO ALITOKA EKA JIWE LA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA MAABARA PALE KWENYE BIOLARVICIDE PLANT.. KIBAHA TAMCO
Back
Top Bottom