Recent content by ERICKY_TZ255

  1. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni namna gani naweza pata taarifa zangu za NIDA zilizotumika wakati wa usaili?

    Nilikuwa naomba usaidizi kama naweza kuangalia taalifa zangu za usajili nizojiandikishia kwenye NIDA kupitia namba yangu ya NIDA mtandaoni, muongozo huo tafadhali..
  2. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Simu bei poa

    Picture yake
  3. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Simu bei poa

  4. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Simu bei poa

    Natafuta simu bajeti kuanzia 450k mpaka 550k nzuri makini, Storage ya kutosha ndani, camera kali, battery life nzuli, iwe faster, isiwe inapata moto, isiwe Infinix, Tecno, GooglePixel au Itel na n.k
  5. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

    Mimi nataka kufuta Profile yani kwenye Facebook niko na Account mbili nawezaje kufuta moja?
  6. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Hamna shida
  7. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Pamoja basii kiongozii
  8. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Na kama ulipangwa Chuo cha kati unaweza ukapata Second selectio ya Form Five??.
  9. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Uko peace sana brother, kwa mkoa gani??.
  10. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Hapo nimekuelewa vizuri sana ndugu yangu
  11. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Na huwa second selection hazifanyiwi maombi??. ni TAMISEMI wanakuchagua wenyewe??.
  12. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Selection of Advanced Levels 2023/2024

    Sijaelewa vizuri, naomba unieleweshe vizuli
  13. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ndogo 10 ninazoweza kuanzisha kwa mtaji wa laki tano

    Kati ya hizo 10 nichague mkuu
  14. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ndogo 10 ninazoweza kuanzisha kwa mtaji wa laki tano

    Naombeni mnisaidie biashara ndogo 10 ninazoweza kuanza na mtaji wa kama laki 5 na unayorudisha hela.🤝🙏🏻
  15. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Tangu 2018 sijapata namba yangu ya NIDA. Shida ni nini?

    Ni ushauli tu nataka
Back
Top Bottom