Recent content by erickishengoma

  1. erickishengoma

    Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

    Boss maoni na ushauri wako ni muhimu sana, ila inabidi utambue hakuna mafanikio bila kianzio sahihi, elimu yetu ni muhimu sana lakini inahitaji pa kutokea ili ikufikishe kunako. Sio kweli kuwa tunapenda kuanzia juu, chini yetu ndo hii tunatafuta watu wakutuamini zaidi, kitendo cha kukaa...
  2. erickishengoma

    Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

    Boss gharama za kupima udongo hazipo straight forward, zinatofautiana kulingana na vitu vikuu vifuatavyo; aina ya upimaji itakayotumika, idadi ya sampuli, idadi ya parameter za kupima pamoja na maabara itakayotumika. (1). Aina ya upimaji; (2). Idadi ya sample; Sample zinaweza kuwa nyingi au...
  3. erickishengoma

    Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

    Nipo Dar es salaam mkuu
  4. erickishengoma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongereni sana kwa hatua jobless wenzangu, aminini Mungu ni mwema. Japo NOT Agro officers naona bado hatujafanyiwa maajabu, Sijui mipango ipoje huko!!
  5. erickishengoma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dah! Japo tutafika ila kwa kuchoka sana
  6. erickishengoma

    Mtaalamu wa Udongo na kilimo mazao

    Hivi ni kwanini nyuzi kama hizi za kutafuta connection/ajira Jf huwa hazichangamkiwi, au ndo tuseme hakuna watu wenye fursa humu!!? Ninachokiamini kuna watu wengi wakubwa na waliojahaliwa kuwa na fursa mbali mmbali tuweni na tamaduni ya kuinuana jamani, bila shaka kila mtu alianzia chini.
  7. erickishengoma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa hiyo mkuu unataka kusema ambao bado account zinasoma shortlisted ndo mikando yenyewe!!!
  8. erickishengoma

    Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Wakuu nimeitwa kwenye intervew Utumishi Afisa kilimo II -NAOT naombeni muongozo , nipitiepitie wapi kujinoa? Maana hapa ni kupambania kombe, najua wapo wanaJF wenye uzoefu katika hili tusaidiane jamani.
  9. erickishengoma

    Utaratibu NSSF

    Duh, ila inaonyesha mizunguko ipo ya kutosha
  10. erickishengoma

    Utaratibu NSSF

    Kwa hiyo ili upate hiyo hela ni vigezo gani unatakiwa, kuwa sehemu nimewahi kumbiwa nikiwa na barua kutoka kwa muajiri inaweza kusaidia, hili lipoje?
  11. erickishengoma

    Utaratibu NSSF

    Wakuu naombeni maelekezo juu ya hili, mimi nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi baadae nikaacha kwa hiari yangu, kwenye account yangu ya NSSF kuna kiasi changu kadhaa cha pesa, sasa nahitaji nijue nifuate utaratibu gani ili kuipata, na naweza kuipata ndani ya muda gani kama nikianza...
  12. erickishengoma

    Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Wakuu naombeni muongozo pia kwa kada ya Afisa kilimo-NAOT, tupitiepitie wapi kujinoa? Maana hapa ni kupambania kombe, najua wapo wanaJF wenye uzoefu katika hili tusaidiane jamani.
Back
Top Bottom