Recent content by erickayilla

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vigogo CCM waliowahi kwenda upinzani wakarudi tena CCM

    Mbona hammumtaji LOWASSA NA MAKONGORO MAHANGA?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vigogo CCM waliowahi kwenda upinzani wakarudi tena CCM

    Mbona hamumtaji LOWASSSA NA MOKONGORO MAHANGA?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama Waziri Mkuu?

    Mm nahisi waziri mkuu atakuwa mwakyembe, january makamba waziri wa nje, pro muhongo waziri wa nishati , mwingilu nchemba ..mambo ya ndani, fulikonjombe ..ujenzi., jerry slaa Naibu waziri wa vijana utamaduni na michezo, n.k
  4. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    JIandaeni kisaikoligia kushindwa na CCM. Ndio mtajua kuwa CCM ILIWATEMEA SUMU SIO PIPI ULAFI WA 10 BILLION Ndio mtaionaachungu yake
  5. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Itakuaje mtakaposikia CCM kidedea tena? Ngoja kesho Dr silaa .mnyika. Tindu lissu watoee tamko ndio mtajua siada ni nini
  6. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Mbona Mhs wenje kwenyye mkutano wake mwanza alitangaza kuwa tayari mgombea kupitiia chadema ni Drr Silaa imekuwaje tena. Au ndio huyu mnunuuzi wa chama nfio ameanza kumili secta yake. Maana huyu kanunua chama tena kwa bei rahisi ya 10B tu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Mbona tulishatangaziwa kuwa Dr.wilbroad Silaa alishaguliwa kuwa ndio mgombea wa chadema au anachukua form ya mke mwenza?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

    Tatizo sio Urais Tatizo maslahi....tumbo. atakayechaguliwa kugombea urais, ni dhahiri chama kitapata wabunge wengi..... na chama hicho kitapata maslahi zaidi.. sasa nani akubali kunyimwa maslahi? huyo Slaa aliweka masharti ya kulipwa marupurupu yote kama mbunge na kiinua mgongo sawa na...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dalili za Lowassa na Kingunge kutimukia UKAWA hizi hapa

    wasalaam. watanzania tupevuke CCM. sio lowasa ila lowasa ni Ccm. sasa kwa kusema bila lowasa ndani ya ccm basi Ccm inakufa ni ufinyu wa kufikiri. mlisema bila nyerere , Tanzania basi...leo bado tupo. huyo kingunge aliishari nini kamati ya maadili mwaka 2005 kuhusu Lowasa?. asitafute wa...
Back
Top Bottom