Recent content by Erick11

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je unakumbuka siku uliofanya mapenzi mpaka ukakubali show

    Kwani kuna wengine hii inakuwaga ni mara moja moja kumfikisha mwanamke ?? au sijaelewa?? mimi show zangu zoote napiga vizuri saana na sijawah kukosea, soo kila nikipiga shoo namwacha hoi na mpaka salute wanapigaga au kulala hoi kabisaaaa
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Dar es salaam
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Miaka yangu inahusika nn na kupata au kukosa mwanamke Bikra!?
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Karibu pm kama upo seriously, ila sijajua upoje nao
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Hii hapana, next years naona! MUNGU akijaalia
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Nimeongea beautiful....... beautiful always ni nature achana na make up au losheni Kwanza😜
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Pole saana
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke bikra

    Habari za majukumu ndugu zangu wote! Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA. Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nanunua google play console mpaka Tsh. Milioni 1

    tusiojua google console tunaomba ufafanuzi, ukute tunazo na hatujui
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Matikiti shambani

    mkoa wa pwani kama unaenda rufiji
  11. E

    JamiiForums Tanzania Navuna matikiti hivi karibuni, dalali anayeweza kunipa connection anitafute

    Bei ya shamba ni makubaliano
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Matikiti shambani

    hata yakijaa vipi price zinajulikana mkuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Matikiti shambani

    Habari za majukumu! nategemea kuvuna matikiti mwezi huu wa 8 tarehe 24-25, shamba lipo mkulanga, unaruhusiwa kutembelea shambani muda wowote kuangalia na kufanya makubaliano muda wowote kuanzia sasa! nategemea kuvuna kuanzia ton 7 na kuendelea, pia kwa mwenye connection na wanunuzi wa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Matikiti shambani

    Habari za majukumu! Nategemea kuvuna matikiti mwezi huu wa 8 tarehe 24-25, shamba lipo mkulanga, unaruhusiwa kutembelea shambani muda wowote kuangalia na kufanya makubaliano muda wowote kuanzia sasa! Nategemea kuvuna kuanzia ton 7 na kuendelea, pia kwa mwenye connection na wanunuzi wa zanzibar...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji magunia ya bamia na Nyanyachungu Dar es Salaam

    Habari za majukumu, Kama kuna mkulima au mwenye anajua zinapatikana BAMIA na nyanya chungu naomba connection, ikiwa karibu na Dar itakuwa vizuri zaidi au hata nje ya Dar. Nahitaji gunia kuanzia 5 na zaidi kila baada ya siku 2. 0658644485 kwa mawasiliano zaidi
Back
Top Bottom