Recent content by Erick tech

  1. Erick tech

    Watu waache unafiki na uchawa

    Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongozi anakuja mahali fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yaani unakuta vurugu nyingi na ilhal mahali alipo kuna viongozi. Je, hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.
  2. Erick tech

    Nifanyeje ili niepukane na siasa za udanganyifu Tanzania?

    ndg naomba ushauri wenu niepukane na siasa zisizo za ukweli tanzania nifanyeje kwani katika uchunguzi wangu nilioufanya hadi sasa naona kama watanzania wanadanganywa na wanazidi kuangamia,tukiangalia kwa wenzetu wa kenya baada ya kanu kutoka madarakani chama kilichopo madarakani kiliendelea...
  3. Erick tech

    Kondoa Kaskazini mbona maendeleo hakuna, au hakuna mbunge?

    Kwa kitu ambacho kinanisikitisha ni kitu ambacho kiliahidiwa toka mwaka 2010.na mbunge wetu wa jimbo la kondoa kaskazini inakuwaje tangu kipindi hiki mambo bado hayajakaa vizuri je inamaana hamjui kuchagua mana mnavyoendelea hinyo mtajikuta mnadanganywa hadi tena 2020.Mngejua mambo ambayo...
  4. Erick tech

    Kupaka rangi za ruti: UDA na SUMATRA nani mbabe?

    da hiyo mi naona sumatra ndio kila kitu aise mana wote ni sawa na mtoto kumtuma baba yake
Back
Top Bottom