Kondoa Kaskazini mbona maendeleo hakuna, au hakuna mbunge?

Kondoa Kaskazini mbona maendeleo hakuna, au hakuna mbunge?

Erick tech

New Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
4
Reaction score
2
Kwa kitu ambacho kinanisikitisha ni kitu ambacho kiliahidiwa toka mwaka 2010.na mbunge wetu wa jimbo la kondoa kaskazini inakuwaje tangu kipindi hiki mambo bado hayajakaa vizuri je inamaana hamjui kuchagua mana mnavyoendelea hinyo mtajikuta mnadanganywa hadi tena 2020.Mngejua mambo ambayo yanafanyika huku juu na mngejua hakuna anayewawazi lolote msingethubutu kuchagua watu ambao nawaita looser. Hakuna wanachokifanya .

Inamaana jimbo la kondoa kaskazini halipewi fedha za miradi kupitia mfuko wa jimbo ambaye mwenyekiti wake ni mbunge na katibu wake ni afisa mipango wa wilaya? kuhusu suala la barabara na maji kuna vyanzo vingi mfano chemchem iliyoko soera kata ya soera au iliyoko kondoa mjini ni kitu kidogo tu cha kutumia akili kidogo lakini watu wanashindwa kukisimamia? HII INAONESHA YA KUWA CHAMA TAWALA KINAJIDHALILISHA CHENYEWE KUTOKANA NA WAWAKILISHI WANAOWAWEKA.Kwa mfano miradi ya maji ya jimbo la kondoa kaskazini ilikuwa bilion 1.9 na bado hapo wanawaambia watu watawachimbia mabwawa ya maji ili waweze kujikimu WANAKONDOA BADILIKENI ANGALIENI SIASA SAFI.
 
Back
Top Bottom