Recent content by Erick msigwa1234

  1. Erick msigwa1234

    Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

    Ko naweza kupata mkuu maan nipo mkoani na sijuh aan coz ni mara ya kwnz kuagiza aan
  2. Erick msigwa1234

    Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

    Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
  3. Erick msigwa1234

    Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

    Tuelekezane bas jamani mzigo wangu naambiwa upo teali dar na utasafirishwa mda wwt nasubir kmy tu na nipo mkoani
Back
Top Bottom