Recent content by Erick kg

  1. Erick kg

    Room for investors Karibu sana

    We are looking for an investor who is willing to invest $50,000 and above. We are currently expanding our Company ( Shamwaa Africa) And we would like you to join this low risky Air Cargo business with high returns. Our Company’s Annual Projected Net Profit ($500,000) and to the best part of the...
  2. Erick kg

    Mwekezaji anahitajika kwenye biashara ya Usafirishajika kutoka China kuja Tanzania

    Mkuu udalali unatokea wapi tena. kama hauna cha ku comment bora utulie tu.. Au hauna kazi za kufanya.
  3. Erick kg

    Mwekezaji anahitajika kwenye biashara ya Usafirishajika kutoka China kuja Tanzania

    Mkuu kuna vitu Confidential, Hauwezi ukaweka Hadharani kama unavyotaka unaweza potez Ukubwa wa Brand tuko nayo Kama upo interested Njoo tuyajenge.
  4. Erick kg

    Mwekezaji anahitajika kwenye biashara ya Usafirishajika kutoka China kuja Tanzania

    Habari Humu, Kwasasa Tunatafuta mwekezaji mwenye uwezo wa kuwekeza 20M kwenye Biashara yetu ya usafirishaji wa Mizigo kwa Njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania. Tunategemea kusafirisha Takribani 20,000 kg kwa mwezi. Na Faida ya kila kilo kwa kampuni inapata $2 kwenye Mchakato mzima. Faida...
  5. Erick kg

    Hapa tuunganishe mitaji mikubwa na wenye mawazo ya biashara

    Fanya Biashara ya Kuuza Vioo na Display za simu.
  6. Erick kg

    Hapa tuunganishe mitaji mikubwa na wenye mawazo ya biashara

    Habari Wadau, Mimi ninafanya Biashara ya Kusimamia Manunuzi ya mizigo kutoka China na kufanya usafirishaji kwa Njia ya Ndege na Kusimamia usafirishaji wa Bidhaa kwa Njia ya Meli. Kama tunavyojua watu wanafanya Manunuzi ya mizigo kutoka China kila siku. Ela inapatikana katika njia Tatu. Ya...
  7. Erick kg

    Tunatafuta mwekezaji katika biashara ya manunuzi

    Ni kubwa kutoka na mzunguko wa pesa kwenye mzunguko wako. Kama ni Real Businessman na investor ni Ela ya kawaida tu.
  8. Erick kg

    Tunatafuta mwekezaji katika biashara ya manunuzi

    Sisi Tunamiliki Mobile App.. warehouse tumekodisha. Faida hio tena ni makadirio ya chini sana. Kwasababu hii biashara lengo kuu ni kuwasaidia wa Tanzania wote kupata Bidhaa China kwa urahisi sana na mizigo ifike kwa wateja Haraka tu.
  9. Erick kg

    Tunatafuta mwekezaji katika biashara ya manunuzi

    Mbona unaguna??? Hamchelewi mkasema ni utapeli
  10. Erick kg

    Tunatafuta mwekezaji katika biashara ya manunuzi

    Biashara ya Mfumo wa manunuzi ya bidhaa zote zinazipatikana China kwa Bei ya jumla kwajili ya wafanyabiashara wadogo na wakati kwa Tanzania nzima, kupitia mtandao. Platform(mobile app) ipo Hewani tayari. Wateja watakuwa wanauwezo wa kupata bidhaa zote za china na kwa bei ya kiwandani, bila...
  11. Erick kg

    INAUZWA Eneo la Ufugaji na Kiwanda (Heka 4) linauzwa milioni 130

    Hakuna mgogoro, nahitaji pesa
  12. Erick kg

    INAUZWA Eneo la Ufugaji na Kiwanda (Heka 4) linauzwa milioni 130

    - Umbali ni 5 km kutoka kituoni barabarani ya lami (Taliano bus stand) -Eneo ni Tambarale -Jumla ya Ukubwa wa Eneo ni Heka 4 ndani yake kuna viwanja vitano ambavyo vimepimwa vyenye ukubwa wa 3300 square meters, 3265 square meters, 2181 square meters, 1392 square meters, 1232 square meters. -...
  13. Erick kg

    Ni kwa gharama ya 150,000 Tshs. Tu tunakutolea gari bandarini

    Hizo ni gharama ya Agency fee.. wharfage na port charges ni mpaka ujue aina ya gari Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Erick kg

    Ni kwa gharama ya 150,000 Tshs. Tu tunakutolea gari bandarini

    Furahia ofa yetu mpya kabambe kwa waigizaji wote wa magari kutoka Japan, Dubai, Singapore, Uk, China, India, South Africa etc. Tunakutolea Magari Bandarini kwa Gharama ya 150,000 tshs. Tu. Wasiliana nasi kwa call/Whatsapp +255738636021 au Fika ofisini kwetu TWIGA HOUSE, SAMORA AVENUE GHOROFA...
Back
Top Bottom