Recent content by Erick Kagenda

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Tetesi zilizopo ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yanaweza kutoka ijumaa ya wiki hii yaani tr 8 ili kutoa nafasi kwa wale ambao matokeo hayatakuwa mazuri kuweza kujisajiri kama private candidate coz mwisho wa usajili bila penariti ni tr 28 mwezi huu wa februari.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Kama ndivyo elimu ya Tanzania inaandaa bomu ambalo litalipuka mda wowote.
Back
Top Bottom