Recent content by Eric Cartman

  1. Eric Cartman

    Kuitukana CCM is not easy

    There is a silent ‘p’ in ‘psy’ not ‘sy’ rudi shule kwanza. As for me I am just doing them a simple favour. Siasa zao bado sana na sina huo wala uvumilivu kuona hayo mabadiliko. Napenda tu kuwakosoa watu ambao wanajaribu lakini siwezi ajiriwa na serikali ya Tanzania mpaka naingia kaburini...
  2. Eric Cartman

    Kuitukana CCM is not easy

    Dubwasha kubwa kama CCM kulitukana unatafuta ugomvi mkubwa sana. Unapokosoa viongozi wao lazima ujue mipaka yako. Wengine tunapo wapa vipande vyao viongozi wao tunaelewa ni kwa wale ambao wanaweza kulala na kidali, ila usivuke mipaka. Acheni kuangaika na mikwala ya sakapoko, wakosoaji wa CCM...
  3. Eric Cartman

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    Waafrika ni issue nyingine; ni shida. Unaanza kuelewa kwanini tunatawalia.
  4. Eric Cartman

    Plato and ‘the republic’ tunakosea wapi?

    Philosophical arguments za kitabu cha Plato ‘the republic’ kimechangia sana civil services duniani kutengeneza watu sahihi na umuhimu wao kwenye kuongoza nchi indirectly. Tanzania inafuata hizo philosophy kwenye succession planning ya ascendency ya civil services. Kutoka kwenye work floor hadi...
  5. Eric Cartman

    Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

    Hizi ndio siasa za wahuni walizotumia kumchafua Magufuli exploitation ya watanzania kutopenda kujifunza how things work in different government departments au sehemu ambazo hayati hana maamuzi yake kwenye utendaji na kumtupia lawama za kupikwa kama hizi (ame influence outcome). Waziri wa nishati...
  6. Eric Cartman

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    Mjomba mziki wa baridi nchi nyingi ni October to February; hiyo vita ilianza baridi inaisha. Sasa hivi mziki wa baridi unakuja ndio unaona EU wanakuja na hadithi za kupunguza 15% ya matumizi kila mtu kwa sasa ili kuwa na reserve ya kutosha winter just in case Russia akikata zaidi gas in the...
  7. Eric Cartman

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    https://news.sky.com/story/amp/mcdonalds-increases-price-of-cheeseburger-for-first-time-in-14-years-12659882 Hiyo inakwambia athari zake McDonalds awajapandisha bei ya bidhaa zao kwa miaka 14. Waulize watu wanaoishi huko bei za vyakula sasa supermarkets. Hao waingereza walau wana security of...
  8. Eric Cartman

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    Waulize watu wanaoishi nchi za EU zinazotegemea mafuta na gas Russia ndio watakwambia mziki wa inflation ni shida hasa kwa watu wa low income. Ikifika winter hakuna suluhisho la inflation kuwasha hitting iwe anasa majumbani watu wataingia kitaa hiyo vita isiwe tabu kwenye maisha yao. Vita sasa...
  9. Eric Cartman

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Ma DC na wakurugenzi watakuwa hawana amani kabisa asubuhi ya leo. Mtu hata chai kunywa aipandi hasa kwa wale ambao awajatokea serikalini na pressure juu. Tabu yote hii ya nini yaani kila ukitoka kwenye media Rais wetu mnapendwa katupa mabilioni ya kujenga sijui nini kutwa kujipendekeza na ajira...
  10. Eric Cartman

    Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    Michezo atoe ushauri mzuri to his beloved Simba sports club, huku kwenye serious issues wamtoe he is fleecing the government coffers.
  11. Eric Cartman

    Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    Si ndio anavyopita na kugawa majiko kwenye ziara yake kwa mtindo wa sandakalawe, sasa kuna methodology hapo ya ku monitor tabia iwapo sample yenyewe anakutana nayo barabarani. Baada ya hapo anaenda kijiji kingine na waliopata majiko wanaendelea na maisha yao, can you call that a research au mtu...
  12. Eric Cartman

    Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    So sad hila ndio ukweli wenyewe hiyo wizara kubwa kwake.
  13. Eric Cartman

    Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    It’s a pity Inabidi afungiwe speed governor hasa kwenye matumizi ya mipango yake not necessary ni mipango mibaya mara zote but not thoroughly planned. Hivi unawezaje kusema unafanya research kwa kugawa majiko, kama pilot scheme kuona utayari wa watu vijijini kutumia nishati ya Gas. Wakati...
  14. Eric Cartman

    Januari Makamba: Kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika

    Yaani mtu anatumia hela za walipa kodi kununua mitungi kutoka kwenye biashara ya mtu wake wa karibu; halafu akiulizwa anasema waulizaji wakatapike. Tena anapiga na picha majiko kayageuza tuone chapa ya ‘taifa gas hiyo si ni promotion ya bure’ anawafanyia. Hila hawa jamaa wanadharau kweli...
  15. Eric Cartman

    Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

    Biashara ya kuendesha railway line Tanzania au ata Africa una compete na nani, hakuna bidding competition huku za private firms kuendesha railway line. Kwa maana hiyo unapanga bei after break even costs. Halafu sio lazima mizigo au chombo kijae ndio upate faida.
Back
Top Bottom