Kila mtu ni shahidi wa mwenendo wa nchi hii hata wale wa anaupiga mwingi wanajua hilo,wanajifanya kuficha ukweli,wanaweka giza kwenye mwanga jambo ambalo haiwezekani, mafisaidi ndo viongozi wakubwa tena wanajifanya kondoo,kwa kifupi nchi imetekwa. Tunahitaji sana mabadiliko sasa shida inakuja...