Recent content by Epistemic Ken

  1. E

    Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

    Sasa inabidi hiki kizazi chetuu kifanye mabadiliko. N a siyo kitu rahisi kwa sababu mabadiliko mengine huambatana na kafara na mapinduzi ya kweliu yanahitaji kujitoa. ni kwanini tusiwe tunatoa rai kwa viongozi wetu yaani hata iwekwe siku maalum ya mjadala kuhusu jambo fulani . lakini pia...
  2. E

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Lakini mbona siri ishavuja? kuna habari inatrendi leo...very sad
  3. E

    CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    asante kwa update hii. give us more updates please
  4. E

    Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    NIA YA KULA PESA...yaliyojirudia yatakuwa replaced baadae na ghost names....let us magufulify TZ na sio kuikwetefy and ridhichinafy
  5. E

    Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

    tumwombe Mungu kwa kweli...kuna minong'ono nasikia sikia. Mama inabidi awe kiongozi mwenye maamuzi na msimano. wanaomsifia wana lao jambo...avunje kwanza vikundi vyote vya zamani va vipya vya wahujumu uchumi na walaghai. Nchi ina wasaliti wengi ambao wanapokea sapoti kwa wakolonio...hatutaki...
  6. E

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kama raiya hatuna haki ya kuhoji na kujua? ukimjua adui utajua jinsi ya kujilinda.
  7. E

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Yaani wakilega lega kidogo tu kina ridhiwani watatake over. inasikitisha vp na pm walivyotudangaya wakati uleraisi anaumwa na amezidiwa...sasa imani yetu kwao ishapungu na tunaamini pia hawajatuambia ukweli kuhusu kifo chake. kwanini wasimtaje aliyemchoma sindano na aliyeagiza achomwe? huu ni...
  8. E

    Mtihani mkubwa kwa Rais Samia ni kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma. Je, ataweza?

    Kwani nini kimebadilika hadi waongezwe mishahara? kazi wanayofany aimebadilika ama? jaribuni kusave...or else tanzania itajikuta kule kule
  9. E

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Huu ni ushauri wa kipuuzi au umetumwa na kina Ridhiwani. Kwanini miradi yote hiyo ifutwe. hatutaki uzalishwaji umeme na gesi from watu binafsi...hii ni miradi ya familia moja ambayo waliitengeneza kusave watoto wao wasinyongwe. acheni kuwa wachoyo...familia moja au tano haziwezi kuwa eti ni...
  10. E

    TANAPA /Mbugani Camps katika kashfa nzito ya uwindaji haramu

    sasa unTgeme nini kama huyu chama chake ni Chadma? Chadema si ndiyo wanaloot na ndiyo adui wa maendeleo ya watanzania wakishirikian ana lile kundi linalimsapoti kigogo. achukuliwe atua ilki akome.
  11. E

    Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

    Kabisa na siku hizi Mama Mheshimiwa wtu samia..haangalii jina wala rangi yeye anaangalia sifa na tabia
  12. E

    Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

    Kwanza ni kwanini awawke hawa serikalini at all. Ni kwa sababu ni watoto wa viongozi waliotangulia au? ule mfumo wa kuwekana ukoo mzima madarakni Mh. Dr. Magufuli aliufuta. Ni kwanini mama yetu raisi mh. Samia sasa mumwambie mtu wa kuchagua> mama Samia tumemjua kama mtu mwadilifu. Usimfundish...
Back
Top Bottom